GDP yenu ni $52b hiyo nyingine ni mapishi tu ya slumKweli;
2015 GDP Tz $50b, Kenya $67b
2019 GDP Tz $59b, Kenya $99b
Time has just told you [emoji850][emoji850]
Uuh...so Japanese are your God? If they told you the cost is usd 885mil you just say amen..and you can't even ask how they arrived to that figure?
Chinese told us the cost for our sgr is usd 7bil+....but now we're doing it for usd 3bil.
Are you compensating the Ocean? To who?
Hahahaha, mnaenda kulipa compensation baharini?, kwahiyo wajapan ambao ndio wao wanaowakopesha pesa, haohao ndio wanafanya "Feasibility study", haohao ndio wanajenga, unajisifia kwa hilo?, ninyi kweli hamna akili.
Kwanini hamjifinzi nini wakenya?, huu mtindo wa kutumia nchi hiyo hiyo kufanya kila kitu ndio sababu mlidhulumiwa na mchina ktk SGR, ina maana Kenya nzima hamuwezi kufanya " Feasibility study"?, bure kabisa ninyi.
Hahahaha, Kenya hakuna SGR, ninyi mlijenga "Very old fashion diesel and very slow train".
GDP yenu ni $52b hiyo nyingine ni mapishi tu ya slum
GDP ya Tanzania ni 72 Kwa sasa ila dunia aiwezi kusema ukweli wala sisi atutaki watujue nguvuzetu ila wataona matokeo ya miradi miaka miwili ijayo
Reli yenye inafaa kufunga post za stima kweli mwanzo mwisho? Mbona haionekani.Unachosema ni kama kusema hakuna flyover ama superhighway, kwa sababu gari zinazoitumia ni mzee.
SGR is like a road. The locomotive passing on it can vary and be changed.
Another proof of the poor education standard in Tanzania, that has left you using 1% of your brains.
Reli yenye inafaa kufunga post za stima kweli mwanzo mwisho? Mbona haionekani.
Ila Poleni Sana. Kungurumisha hiyo gari moshi si mchezo! No wonder umepunguza some wagons ili kushusha gharama. I heard last year your so called SGR make a record loss of USD 100 million. That's not a good indicator thou mnasingizia season iko low saiv kati ya Mombasa na Naii.. Funny! Hadi usafiri ndani mnakuwa na season?
Thank you for your verbal diarrhea, Sasa tuliza mapacha chini tuende mosi mosi.SGR is not a profit making scheme. It is there to drive the economy.
Kweli elimu ya kijinga ya Tanzania haikumueleza kwamba infrastructure kwa nchi za ulaya na zingine developed, huwa subsidized na serikali kila mwaka?
Alafu, SGR ya Kenya purpose yake kuu ni freight/cargo transport. 90% ya locomotive zake ni cargo.
SGR ya Tanzania purpose yake kuu ni kujilinganisha na Kenya, sio kubeba mizigo. Ni ya supremo kufurahisha raia wake.
Treni nyingi duniani za cargo hutumia diesel, sio electric.
Diesel trains ziko preffered kubeba mizigo ulimwengu mzima.
Ndio maana hivi leo, SGR ya Ethiopia imeacha kufanya kazi, ilhali ya Kenya haijawahi enda siku hata moja bila kazi.
Hapa kiasi cha pesa kilichotajwa ni zaidi ya $2B, daraja pekee ni zaidi ya $800M, hivyo vingine vitameza $1.2B, lakini hadi sasa pesa iliyopatikana ni hiyo Ksh 46B, sasa wapi pameandikwa daraja litagharimu Ksh 46B?. Hahahaha, Hahahaha, wajinga sana ninyi.
Hapa kiasi cha pesa kilichotajwa ni zaidi ya $2B, daraja pekee ni zaidi ya $800M, hivyo vingine vitameza $1.2B, lakini hadi sasa pesa iliyopatikana ni hiyo Ksh 46B, sasa wapi pameandikwa daraja litagharimu Ksh 46B?. Hahahaha, Hahahaha, wajinga sana ninyi.
Bwaaaaaahhhhhh mkikuyu una furahi kutafuna Pesa za wakenya kifisadi ngoja uchaguzi ujao mchinjane
Eeyeeeeeeh!!!Hahahaha, Hahahaha.
Tatizo ni uwezo wenu mdogo wa akili, ndio sababu mnaibiwa katika kila mradi wa serikali yenu, uwezo wenu mdogo wa akili ndio unasababisha mnashindwa hata kupambana na rushwa, Sonko aneshindwa kuvumilia ameamua kuwafungua akili kwa kuwawekea hii video.Yani nakupiga na link yako mwenyewe...tatizo uvivu na kutoelewa kingereza vizuri...
Punguza ukurupukaji jomba[emoji382][emoji382]
Tatizo ni uwezo wenu mdogo wa akili, ndio sababu mnaibiwa katika kila mradi wa serikali yenu, uwezo wenu mdogo wa akili ndio unasababisha mnashindwa hata kupambana na rushwa, Sonko aneshindwa kuvumilia ameamua kuwafungua akili kwa kuwawekea hii video.
https://www.facebook.com/
One $1 in Tgovt inafanya kazi kubwa × 5 ya one $1 in Kgovt[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tanzania government revenue yake ni chini ya nusu ya Kenya.
Tangu lini nchi yenye GDP ya juu ikaokota ushuru mdogo kuliko nchi yenye GDP ya chini?
Enda mjilinganishe na Burundi.
Msilinganishe mombasa gare bridge na hio kitu ya lake Victoria. 15m over water na 69m is something to compare?
Mombasa bridge is 1.4km long suspended 69m high. 10km of new roads and interchanges in Mombasa and likoni for $42b.
Kama ile Kingamboni bridge ingekua imejengwa kati kati ya Dar is slum, kubomoa majumba 800kwenye CBD, na largest ships in the world pass below it, ingekua cheap?
One $1 in Tgovt inafanya kazi kubwa × 5 ya one $1 in Kgovt
Sasa kama unajua uchumi utanielewa nini namaanisha
The reason ya kusema SGR yenye ni freight rail ni ili uzime hoja kwamba kwanini wasafiri wamepungua kwenye route hiyo ya Msa -NBO. Ukweli ni Kwamba Msa is dying kwa sababu ops nyingi zimehamia NBO, hivyo Msa wanaenda watalii tu wazungu na wenyeji kutembelea. Kibiashara Msa ndio inachungulia pabaya.