Serikali ya kenya Kenya Kutumia $885mn (1.8trilion ) kujenga daraja la 500m Likoni

Halafu hujasema kama post za kuwekea stima zipo kwenye hiyo rail track? Halafu acha uzuzu uko Kenya hapo halafu unapimana ubavu na transport infrastructure za ulaya? SMH! Ndio maana mnapigwa tu nyie. Eti hazi generate income zinadepend subsides? Sasa Deni la mkopo litaisha lini kama bado na subsides mnatoa tena kwa wachina?

Well, public transport is not for profit, but it should have to generate income enough to cuter it's operations costs.

Ujinga wa elimu unadhihirisha tena.

Public infrastructure is not for profit. Unless it is operating on tolls.
Thika road tuliijenga kwa deni. Lakini Thika road haina hata shillingi moja revenue.

Infrastructure za serikali kazi yake ni kupanua GDP. GDP ikipanuka, revenue ya serikali itapanuka, na pesa ya kulipa deni itapatikana.

Wewe akili yako 1% haikuruhusu kuangalia the bigger picture.

99% ya barabara au infrastructure zote Kenya (hata Tanzania), hazileti faida yoyote directly.

Ulaya na nchi tunazotamani kuiga, reli na subway ziko subsidized. Kama huelewi maana ya hilo neno, inamaanisha operation za reli ni hasara tupu, na inabidi serikali itumie pesa yake ili operations zisikwame.
 
Watu hawatumii magari moshi acha nyee nyee..teknolojia inaenda mbele hairudi nyuma. Afu Tz saiv tunashindana na Ethiopia huko..hapo kunyaland ni ligi ndogo kwa Tz. Nyingi bado sana.

Hakuna shida, shindaneni na Ethiopia na Uganda mkitaka. Hao ndio mmekaribiana GDP.
Kenya, namba moja East and Central Africa, tunalenga South Africa na Egypt.
 
Well, public transport is not for profit, but it should have to generate income enough to cuter it's operations costs.

Wewe ficha ujinga.

Unaelewa maana ya subsidy?
Public transport is a loss making venture, relying on government money to operate.
For UK trains to meet their operation costs, passengers would have to pay triple their ticket price.

SGR is always fully booked. Wewe enda ukaangaliwe kichwa.

Full booked na wala githeri sio? Hivi catering company za SGR ni za nani? Na chang'aa pia ruksa humo.

Fully booked pia on freight as sio lazima tena kusafirisha mizigo from Msa to NBO kwa kutumia SGR . Uwanja unakuwa fair kwa all stakeholders. Watu wa Msa wameshituka kuna some cronies in NBO zinataka kuwageuza ghost city.

Acha shobo ku quote ma thread kibao.
 
Kwn bridge inajengwa likoni...tatizo ulikurupuka, ukipata habari kwanza ichambue..yani hilo swali umeuliza inaonyesha n km hyo habari hukuisoma vizuri...
Tatizo lugha, siwez kulaumu
Pale Likoni kuna Majumba gani mtabomoa?
 
Punguza jazba...
Full booked na wala githeri sio? Hivi catering company za SGR ni za nani? Na chang'aa pia ruksa humo.

Fully booked pia on freight as sio lazima tena kusafirisha mizigo from Msa to NBO kwa kutumia SGR . Uwanja unakuwa fair kwa all stakeholders. Watu wa Msa wameshituka kuna some cronies in NBO zinataka kuwageuza ghost city.

Acha shobo ku quote ma thread kibao.
 
Full booked na wala githeri sio? Hivi catering company za SGR ni za nani? Na chang'aa pia ruksa humo.

Fully booked pia on freight as sio lazima tena kusafirisha mizigo from Msa to NBO kwa kutumia SGR . Uwanja unakuwa fair kwa all stakeholders. Watu wa Msa wameshituka kuna some cronies in NBO zinataka kuwageuza ghost city.

Acha shobo ku quote ma thread kibao.

Go get your head checked.
Hizo stats zako za jikoni CCM enda ukaambie bongolala wenzako.

You barely get a ticket on SGR if you fail to book 1 week in advance. December ikikaribia, you'll need to book 1 month in advance.
 
Yes, lazima ukate tiketi mapema maana mmepunguza behewa 2
Nas Servair are the caterers.
Owned by French catering group Servair, Chinese conglomerate HNA Group, and formerly the Moi family.
I see.. Sasa wanawapikia vyura na Nyoka nini? Mbona mnataka muingie na githeri na Chang'aa kwenye stations? How can a civilized community do that?
 
Pombe tu ndio imakatazwa. Hauruhusiwi kubeba pombe yako, lakini utauziwa ndani ya treni.

Nchi gani ambayo unaruhusiwa kuingia treni ama ndege na pombe yako?
 
Nchi hii hapa..
View attachment 1225707
Screenshot_20191007-121847~2.jpeg
 
Umeruka tena...
Enhee!!sonko kaweka, umemskia nani akimuita mpiga dili au sio mzalendo...

Km ni zitto sai keshapewa kesi ya uhujumu uchumi, ama utaskia wasiojulikana walishamkamata na kutokomea naye...

Matunda ya katiba hayo..haijalishi uko chama gani...kemu mwanchama wa ccm ayaseme mabaya ya nchi uone km hatotumbuliwa ndani ya masaa 24 na kubamizwa na kesi zisizoeleweka
1)Pesa za serikali kuendelea kuibiwa
2)Ukabila kuongezeka
3)Mauaji kuzidi
4)Rushwa kuongezeka
5)Ukabila kuongezeka
6)Unemployment
7)Umasikini kuongezeka

Haya ndio unaita ni matunda ya katiba?. Hongereni sana.
 
Wajinga hao bro...wanafikiria kubomoa majumba CBD ni rahisi
Ninyi mpo na akili ndogo sana, wewe umeona wapi kampuni linalojenga ndio linafanya " Feasibility study, lenyewe ndio linafanya 'Costing ", nchi yake ndio inatoa pesa na kumaliza kila kitu?, hivi ninyi ni wa pumbavu kiasi gani kiasi cha kushindwa kufanya " Feasibility study and Costing", sasa hivyo vyuo vikuu hapo Kenya vinafundisha nini kama vinashindwa kufanya mambo ya msingi kama haya?, hovyo kabisa ninyi.
 
Ujinga wa elimu unadhihirisha tena.

Public infrastructure is not for profit. Unless it is operating on tolls.
Thika road tuliijenga kwa deni. Lakini Thika road haina hata shillingi moja revenue.

Infrastructure za serikali kazi yake ni kupanua GDP. GDP ikipanuka, revenue ya serikali itapanuka, na pesa ya kulipa deni itapatikana.

Wewe akili yako 1% haikuruhusu kuangalia the bigger picture.

99% ya barabara au infrastructure zote Kenya (hata Tanzania), hazileti faida yoyote directly.

Ulaya na nchi tunazotamani kuiga, reli na subway ziko subsidized. Kama huelewi maana ya hilo neno, inamaanisha operation za reli ni hasara tupu, na inabidi serikali itumie pesa yake ili operations zisikwame.
Acha ujinga wako wewe, tunaposema " government infrastructure is not for profit", haina maana ipate hasara, lazima iweze kujiendesha yenyewe, sasa kama SGR yenu inapata hasara, wafanyakazi na ununuzi wa "spareparts" au kununua locomotives mpya mtatoa wapi pesa?.

Kuhusu barabara ni kwamba, kila gari inalipia "Road licence, Insurance and fuel taxes, ambazo sehemu ya hizo zinalipia gharama ya matumizi ya barabara, Kenya reli hakuna hivyo vitu, lazima reli iweze kukusanya mapato ya kuweza kujiendesha, kama zilivyo Hospital za serikali.

Kwanini watu wasitibiwe bure ktk Hospital za serikali, au kwanini watu wasisafiri bure ktk SGR yenu kama unahisi Profit sio muhimu. Hizi akili zenu ndogo ndio zinasababisha nchi yenu kuzidi kuporomoka mwaka hadi mwaka.
 
Tatizo unakurupuka...usijali lkn...nitakuelewesha ukitaka

Back
Top Bottom