kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Halafu hujasema kama post za kuwekea stima zipo kwenye hiyo rail track? Halafu acha uzuzu uko Kenya hapo halafu unapimana ubavu na transport infrastructure za ulaya? SMH! Ndio maana mnapigwa tu nyie. Eti hazi generate income zinadepend subsides? Sasa Deni la mkopo litaisha lini kama bado na subsides mnatoa tena kwa wachina?
Well, public transport is not for profit, but it should have to generate income enough to cuter it's operations costs.
Ujinga wa elimu unadhihirisha tena.
Public infrastructure is not for profit. Unless it is operating on tolls.
Thika road tuliijenga kwa deni. Lakini Thika road haina hata shillingi moja revenue.
Infrastructure za serikali kazi yake ni kupanua GDP. GDP ikipanuka, revenue ya serikali itapanuka, na pesa ya kulipa deni itapatikana.
Wewe akili yako 1% haikuruhusu kuangalia the bigger picture.
99% ya barabara au infrastructure zote Kenya (hata Tanzania), hazileti faida yoyote directly.
Ulaya na nchi tunazotamani kuiga, reli na subway ziko subsidized. Kama huelewi maana ya hilo neno, inamaanisha operation za reli ni hasara tupu, na inabidi serikali itumie pesa yake ili operations zisikwame.