Serikali ya kenya Kenya Kutumia $885mn (1.8trilion ) kujenga daraja la 500m Likoni

Umeruka tena hku...punguza jazba...
Tena ujue bongo ndio balaa zaidi
1)Pesa za serikali kuendelea kuibiwa
2)Ukabila kuongezeka
3)Mauaji kuzidi
4)Rushwa kuongezeka
5)Ukabila kuongezeka
6)Unemployment
7)Umasikini kuongezeka

Haya ndio unaita ni matunda ya katiba?. Hongereni sana.
 

Akili 1% inadhihirika tena.

Nchi ngapi reli yao inaweza kujiendesha bila government subsidies? Zitaje hapa.
Ulaya, Marekani, Canada etc. reli zao zote zinaendeshwa hasara.

Ukweli reli inaweza jiendesha, lakini tikiti itabidi ipandishwe, na wananchi hawatapenda..

Kwanini watu wasitibiwe bure kwa ktk hospitali za serikali? - Kenya matibabu mengi ni bure ktk hospitali za serikali.
Kila mwaka kuna bajeti ya health inayolipia matibabu ya maternity, HIV na mengine mengi.
Actually, bila pesa ya nje, hizi hospitali zingefungwa kitambo. Zinategemea pesa ya serikali 90%.

Unachosema kuhusu fuel levy na insurance, hizo ni pamoja na taxes zingine ambazo zinawekwa kwenye kikapu kimoja treasury, na kutumiwa kwa project zote za serikali.

Fuel levy pekee haijatosha kujenga barabara zote mpya tunazojenga, na kumaintain zilizoko sasa hivi.
Kama ingetosha, hatungewahi chukua deni za barabara.

Ushuru wa serikali ukiokotwa, unawekwa kwa kipaku kimoja na kubajetiwa vilivyo.

Sekta mingi zinahitaji bajeti, lakini hazileti revenue yoyote. Mfano polisi, jeshi, elimu, hospitali etc.
Wewe na 1% ya akili unadhani kwamba pesa ikiokotwa kwa mafuta, itatumika pekee kwa barabara.
 

SGR faida yake sio direct.
Ushuru utakao ongezeka kupitia upanukaji wa GDP, ndio utakaolipia operations za SGR.

Vile vile GDP ya Nairobi ilivyopanuliwa na Thika Road na kulipia deni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…