Serikali ya Kenya kuondoa vikosi vyake Somalia

Lete ushahidi wa shambulio moja tu lilofanywa na Alshabaab ndani ya Kenya kabla ya2011 KDF ilipovuka mpaka na kuingia Kenya, zaidi ya kuteka watalii wasiozidi kumi, hakukuwa na shambulio lolote la Alshabaab kwa Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu tumieni facts kujadili kuhusu haya masuala nyeti ya Kenya na vita vyake dhidi ya UGAIDI, sio Somalia. Mbona US na allies wake walipinga vikali, tena wazi kabisa, na hawakutaka wala kuunga mkono hatua ya Kenya kutuma vikosi vyake Somalia mwaka huo wa 2011? Ndio hizi hapa Wikileaks zilizovuja kuhusu malumbano ya wamarekani na serikali ya muungano ya Rais Kibaki na Raila Odinga enzi hizo kuhusu pingamizi lao la uvamizi wa Kenya kule Somalia. >>>https://www.mcclatchydc.com/news/nation-world/world/article24719194.html
 
Lete ushahidi wa shambulio moja tu lilofanywa na Alshabaab ndani ya Kenya kabla ya2011 KDF ilipovuka mpaka na kuingia Kenya, zaidi ya kuteka watalii wasiozidi kumi.
2002: Terrorists hit Paradise Hotel after elaborate planning Alshabaab waliiivuruga sekta ya utalii nchini Kenya kabla ya KDF kuingia Somalia. Walidhubutu hadi kutungua ndege kwenye airspace ya Kenya, na kuteka meli baharini. Nchi za UK/Fr zikaanza kusindikiza mizigo na meli za kivita. 2002 kwenye shambulizi la Paradise Hotel kule Kikambala pwani waliwaua watu 15, wakiwemo waisraeli.(link ipo hapo juu) Ndege la waisreli pia ambalo lilikuwa na abiria 250 walilirusha kombora ila hawakufanikiwa kulitungua. Shambulizi la mabalozi nchini Kenya na Tz '98 lilipangiwa kule Somalia, hujui kwamba ICU na baadaye alshabaab ni alqaeda nchini Somalia?
 
Kenya lazima atakua na backup ya nchi fulani haiwezi kusimama yenyewe kama yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…