Serikali ya Kenya kuondoa vikosi vyake Somalia

Serikali ya Kenya kuondoa vikosi vyake Somalia

Analysis yako ni ya kiboya kupindukia. Mashambulizi 16 tena madogo madogo ya kuvizia kwenye boda utayalinganishaje na mashambuli mengi makubwa tena ndani kabisa ya Kenya kabla na KDF ilipoingia Somalia? Hao magaidi walituchokoza wenyewe kwa kuhuhujumu uchumi wa Kenya baada ya kuingia hadi pwani ya Kenya na kuteka watalii. Meli ambazo walikuwa wanateka baharini zilikuwa zinatukosti sote hapa Afrika Mashariki. Sasa hivi Kismayu ndio mji wenye amani zaidi ya zote Somalia. Alafu kule Mogadishu kwenye vita sio jurisdiction ya KDF.
Lete ushahidi wa shambulio moja tu lilofanywa na Alshabaab ndani ya Kenya kabla ya2011 KDF ilipovuka mpaka na kuingia Kenya, zaidi ya kuteka watalii wasiozidi kumi, hakukuwa na shambulio lolote la Alshabaab kwa Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You will try to go around as usual but the underlying truth behind the truth is the War is there for the interests of the Might US and his allies, nyie huko mlienda sababu ya kitu kidogo na kuuza mkaa in return of lives of hundreds of inocent Kenyans.
Unajua kwenye Maisha hata usipofanikiwa kuwa na pesa, ukijitambua tu wewe mshukuru Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tumieni facts kujadili kuhusu haya masuala nyeti ya Kenya na vita vyake dhidi ya UGAIDI, sio Somalia. Mbona US na allies wake walipinga vikali, tena wazi kabisa, na hawakutaka wala kuunga mkono hatua ya Kenya kutuma vikosi vyake Somalia mwaka huo wa 2011? Ndio hizi hapa Wikileaks zilizovuja kuhusu malumbano ya wamarekani na serikali ya muungano ya Rais Kibaki na Raila Odinga enzi hizo kuhusu pingamizi lao la uvamizi wa Kenya kule Somalia. >>>https://www.mcclatchydc.com/news/nation-world/world/article24719194.html
 
Lete ushahidi wa shambulio moja tu lilofanywa na Alshabaab ndani ya Kenya kabla ya2011 KDF ilipovuka mpaka na kuingia Kenya, zaidi ya kuteka watalii wasiozidi kumi.
2002: Terrorists hit Paradise Hotel after elaborate planning Alshabaab waliiivuruga sekta ya utalii nchini Kenya kabla ya KDF kuingia Somalia. Walidhubutu hadi kutungua ndege kwenye airspace ya Kenya, na kuteka meli baharini. Nchi za UK/Fr zikaanza kusindikiza mizigo na meli za kivita. 2002 kwenye shambulizi la Paradise Hotel kule Kikambala pwani waliwaua watu 15, wakiwemo waisraeli.(link ipo hapo juu) Ndege la waisreli pia ambalo lilikuwa na abiria 250 walilirusha kombora ila hawakufanikiwa kulitungua. Shambulizi la mabalozi nchini Kenya na Tz '98 lilipangiwa kule Somalia, hujui kwamba ICU na baadaye alshabaab ni alqaeda nchini Somalia?
 
Kando na masuala ya kiusalama, kiutalii au kiuchumi Kenya imefanikiwa kupambana na alshabaab na kuwezesha na kuimarisha serikali ya Somalia bila kusahau azma na strategy ya 2011 ya kutengeneza jamhuri mpya ya Azaaniya(Jubaland) ndani ya Somalia kama bufferzone ya nchi ya Kenya.
somalia-spheres-of-influence-modified-by-abdishkur-jowhar-dec-20112.jpg
Ndio maana Ethiopia walianza kuruka ruka walipostukia kwamba Kenya imefanikiwa hadi ikamueka rais Sheikh Madobe madarakani. Sasa hivi hamna cha Somalia, nchi hiyo imegawanyika kwenye vipande vipande. Somaliland, Puntland na Jubaland hadi hivi majuzi wameanza kupigana wenyewe kwa wenyewe. Baada ya vikosi vya kijeshi vya 'serikali kuu', Somalia, kushambulia vikosi vya Jubaland.
Kenya lazima atakua na backup ya nchi fulani haiwezi kusimama yenyewe kama yenyewe
 
Back
Top Bottom