joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Lete ushahidi wa shambulio moja tu lilofanywa na Alshabaab ndani ya Kenya kabla ya2011 KDF ilipovuka mpaka na kuingia Kenya, zaidi ya kuteka watalii wasiozidi kumi, hakukuwa na shambulio lolote la Alshabaab kwa Kenya.Analysis yako ni ya kiboya kupindukia. Mashambulizi 16 tena madogo madogo ya kuvizia kwenye boda utayalinganishaje na mashambuli mengi makubwa tena ndani kabisa ya Kenya kabla na KDF ilipoingia Somalia? Hao magaidi walituchokoza wenyewe kwa kuhuhujumu uchumi wa Kenya baada ya kuingia hadi pwani ya Kenya na kuteka watalii. Meli ambazo walikuwa wanateka baharini zilikuwa zinatukosti sote hapa Afrika Mashariki. Sasa hivi Kismayu ndio mji wenye amani zaidi ya zote Somalia. Alafu kule Mogadishu kwenye vita sio jurisdiction ya KDF.
Sent using Jamii Forums mobile app