Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Uhuru Ruto na pia Raila as a handshake reward! Mzee mzima yupo kimya kupita maelezo!Hapo wamekodoa macho balaaππππ
Unapokuwa na budget ya $30 bln halafu tax collection less than $15 bln! Huna jinsi!...OMG,
Hii yote inalazimishwa na hali ya debt to GDP ratio kuwa kubwa sana, hivyo basi serikasli imefikia level ya kutokopesheka tena. Serikali inatafuta namna ya kuraise pesa ya budget. Nimeona na KPA hapo ktk list, nadhani wanunuzi wa masirika mengi watakua ni waChina.
Wenzenu wanainamiliki petro dollar ambayo ni sawa na biashara. Sasa Kenya ina nini?Serikali zote makini Duniani zinajikita kwenye ukisanyaji wa Kodi, Zinajitoa 100% kwenye biashara! USA mpaka magereza wamebinafshisha.
wanaitaji maombi piaHapa Kenya kwisha habari yake. Ila hadui mwombee njaa[emoji23][emoji23][emoji4]
Sasa ndugu unataka tuwe kama marekani ambao kampuni binafsi za magereza zinayataka majimbo waliyo na mkataba nao kuhakikisha jela zao haziwi under capacitySerikali zote makini Duniani zinajikita kwenye ukisanyaji wa Kodi, Zinajitoa 100% kwenye biashara! USA mpaka magereza wamebinafshisha.
Uchambuzi ulio kwenda ShuleKwa taarifa yako hilo swala la Marekani lina lalamikiwa sana na wa Marekani wenyewe. Sio magereza tu bali hadi police na reserve bank ya marekani inamilikiwa na matajiri wa Israeli. Ndo maana pesa ya marekani inajina la Reserve Bank of America na sio Bank of America. Wao ndo hufanya printing and issuing of the currency on behalf of the government. In America kunakitu kinaitwa (cooperate companies) they are business catalies who own all that by making profit on tax payers money through the government of America. Saani ya chakula cha mfungwa marekani inakuwa charged juu alafu serikali inalipa na wao kutengeza faida. Wanapo kuwa na wafungwa wengi ndo utengeneza faida zaidi. Marekani inaongoza duniani kwa kuwa na wafungwa wengi. Hicho kitu wa Marekani wengi wanakipinga. Hawakitaki. Pale Wall Street New York skyscrapers nyingi niza hizo cooperates.
We as Africans should never be fooled with American way of doing things but only countries like China India or Vietnam. Kampuni kama Boeing inamilikiwa na serikali ya Marekani. Kampuni ya Airbus inamilikiwa na serikali ya France and Germany. Kuna mambo mengine lazima yafanywe nakusimamiwa na serikali. Kampuni nyingi kubwa za China zinamilikiwa na serikali ya China. Kwa China huko ndo almost all Mega companies are government owned. PPP are always after profit. They always want to benefit on tax payers money and sometimes they charge higher prices.
Hii yote world bank illidanganya nchi za kiafrika ili tusiweze piga atua. PPP hatotokea kuwa mkombozi wa kiuchumi barani Africa. I has failed and will keep on failling in Africa.
The problem is not selling, it is the reason for selling, this means if the money will not be enough to finance the budget, what next?Bongo people are here bringing their supposed expertise and propaganda without reading the full article to the end
"Currently, there are 262 state corporations and agencies but the government plans to reduce them to 187 by merging them to eliminate duplication. "
1.The govt is not selling everything
2.There is a more detailed document showing what the govt owns and what they are offloading and in what manner
3. Most of these Parastatals have made the govt so big, introducing wastage , duplication and corruption.
Issues Kenyans have with this.
1.why are some of them being sold yet they make so much money and are very stratergic
eg.Kenya ports Authority
Kenya pipeline
Kengen
2.will the selling be transparent ?
3.Will those executives that have been mis-managing them be brought to book.?
View attachment 921755
The problem is not selling, it is the reason for selling, this means if the money will not be enough to finance the budget, what next?
Watakopa Mchina!Wakiyauza this time ili ku finance budget yao then next budget watauza nini ili kuifanance?
Hiyo ni tafsiri yako vile unavyohisi, wangeweza kuandika " Serikali inauza makampuni kutokana kutoendeshwa kwa faida". Ila hapa wamesema ili kupata pesa za kufidia nakisi ya bajeti.You think they are being sold to finance all the budget,?? the amount the govt will get from selling is so insignificant compared to the budget deficit, it may be just an excuse for a major scam coming.
Mchina amestuka kwamba pesa yake haitorudi, ameanza kuwakwepa.Watakopa Mchina!
swali fikirishi sana labda watauza kdfWakiyauza this time ili ku finance budget yao then next budget watauza nini ili kuifanance?
Daaa mkuu some time Tuwe tunatoa suruhisho Kwa manana kinacho tokea Kenya kinaweza tokea TZ.Alafu hapo watu watanunua kwa bei yakutupwa. Hao akina Uhuru na rafiki zao ndo watanunua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Those approved for sale are National Bank of Kenya, Consolidated Bank of Kenya, Kenya Meat Commission, Development Bank of Kenya, East African Portland Cement, Kengen, Kenya Pipeline Corporation, Kenya Ports Authority, and five sugar millers β Chemilil, Sony, Nzoia, Miwani and Muhoroni.
Others are Agrochemical and Food Corporation, New Kenya Co-operative Creameries, Numerical Machining Complex and Isolated Power stations, hotels (Kabarnet Hotel, Mt Elgon Lodge Ltd, Golf Hotel Ltd, Sunset Hotel Ltd and Kenya Safari Lodges and Hotels Ltd).
Also targetted are Kenya Tourism Development Corporation-associated companies, which include International Hotels Kenya Ltd, Kenya Hotels Properties Ltd, Mountain Lodge Ltd and Ark Ltd.
Umeisoma hiyo attached image of some of the objectives of privatization.Hiyo ni tafsiri yako vile unavyohisi, wangeweza kuandika " Serikali inauza makampuni kutokana kutoendeshwa kwa faida". Ila hapa wamesema ili kupata pesa za kufidia nakisi ya bajeti.