Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 10,494
- 9,854
Privatisation sio mbaya vile unadhania., govt always has a stake., it improves management and inhibits corruption.
Mbona hueleweki?, kinachozungumzwa ni bajeti za hizi nchi kulinganisha na mapato ya hizi nchi.
Kenya mnapanga bajeti kubwa sana kulinganisha na uwezo wenu, kwanini huwa mnapenda kujikweza sana kuliko uwezo wenu?. Ona sasa mnazidi kujiweka pabaya hadi mnauza KPA shirika mama na muhimu sana kwa uchumi na economic freedom ya nchi yenu.