Serikali ya Kenya kuuza Makampuni 26 ya kiserikali ili kufidia sehemu ya Bajeti na kutekeleza miradi

Privatisation sio mbaya vile unadhania., govt always has a stake., it improves management and inhibits corruption.
 
Usipanic kaka, kinachosemwa hapa ni ninyi kupanga bajeti kubwa kuliko uwezo wa kipato chenu. Sisi tunapanga bajeti yetu kutokana na uwezo WETU tulionae, sasa wewe unapanga kula kuku kila siku kwa pesa ya mkopo, utauza hadi Sox za VIATU usipokua makini.
 
Kenyatta anaimezea mate Kenya Ports Authority na Kenya Pipeline Company..Lakini limbukeni za Jubilee hazi fahamu yanayo endelea..
Walipouza KQ sababu ya ufisadi, sasa KQ inapumulia mashine, mabepari wa uhuru na marafiki wake wanaendelea kuitafuna, kuweka daily route za Newyork ili ndege walizokodisha shirika ziendelee kuingiza mpunga hata kama ndege inabeba watu 45
 
Of course kwa vigezo vya mzungu. Hatujipimi na nyie maana hamuwezi kuwa mfano.
 
Sio nyang'au unazungumzia kaka![emoji23][emoji23]., a rich man mostly has loans to expand uwezo wake wa kibiashara., our budget is to finance our vision 2030 plans., sasa sio wakati wa kukula, ni kupanda kwa jasho na machungu., kukula ni mbele ama vizazi vya mbele. Mavuno bado., its a gamble, tunaeza chomeka pia na pia twaweza fanikiwa., ombi lenyu kwetu ni lipi?., nimeona wivu na majungu kwa wengi wenyu humu whenever Kenya does well, wakati ilipokua ikitarajiwa kuanguka.
 
Privatisation sio mbaya vile unadhania., govt always has a stake., it improves management and inhibits corruption.
Hahahaha hahahaha, Kenya you have privatized enough, matokeo yake ndio haya uchumi 63% ya GDP imo mikononi ya watu Elfu 8 pekee, the rest 45M wanamiliki 37% ya nchi, is this not enough?.

Tatizo linalojitokeza hapa ni kwamba uuzaji wa safari hii unasukumwa zaidi na kupata pesa kwa ajili ya bajeti iliyopangwa bila kuangalia uwezo wa uchumi wa Kenya. Poor planning is a chronic disease among Kenyans.
 
What percentage of US economy is held by the rich?., how does that translate in their lifestyle?., your GDP is held by private investments na CCM, whose cronies are benefiting more than the raiya., hakuna kitu unasema hapa, mko ovyo tu.
 
Kenya bajeti ya maendeleo ni less than 30%, the rest ni recurrent expenditure, mainly salaries, unaposema huu sio wakati wa kukula unamaanisha nini?. 53% ya bajeti yenu yote mnatumia kwa mishahara, ambapo civil servants ni 2% ya wakenya wote, ila ndio wanaochukua 52% ya bajeti yenu.

Huko ndiyo kuendelea ambako unahisi Tanzania inawaonea wivu?. Mimi ninashauri muibane serikali yenu iweze kuwajali wananchi wa kawaida kwa kupunguza recurrent expenditures na kuongoza bajeti ya maendeleo, mtaweza kujenga miradi mingi kwa pesa za ndani na kupunguza kukopa au kuuza mashirika muhimu kama KPA.
 
These filthy paupers are way broke as goon they are selling even ports OMG where's your "go fund me" link? I wanna donate some few spares.
 
KPA imekuchoma sana., we take chances when push comes to shove., sote tukae tuone baada ya miaka mitano lipi litatokea kisha tusemezane, I respect your opinion, but cant submit to your fears and worries.
 
What percentage of US economy is held by the rich?., how does that translate in their lifestyle?., your GDP is held by private investments na CCM, whose cronies are benefiting more than the raiya., hakuna kitu unasema hapa, mko ovyo tu.
Don't ask only, tell us what percentage of USA economy is in the hands of few people?.
 
KPA imekuchoma sana., we take chances when push comes to shove., sote tukae tuone baada ya miaka mitano lipi litatokea kisha tusemezane, I respect your opinion, but cant submit to your fears and worries.
Aisee mkiuza KPA bora muuze nchi yote, hiyo ndiyo iliyoshikilia uchumi wa Kenya kwa sasa, utalii, manufacturing na Agriculture vipo ICU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…