Bomb sio ya kusubiri ilipuke uone nini kitatokea.
Any way KPA goes for how much!!!
wewe usifananishe yai na kuku kosa kubwa ambalo hua munalifanya nyie ni kujifananisha na developed countries, wale hawazungumzii njaa ajira na tiba, pimbi kweli weweπππππSerikali zote makini Duniani zinajikita kwenye ukisanyaji wa Kodi, Zinajitoa 100% kwenye biashara! USA mpaka magereza wamebinafshisha.
Don't ask only, tell us what percentage of USA economy is in the hands of few people?.
sio yanatumiwa vibaya na mafisadi hata alieko juu yao pia ni fisadi tena fisadi papaππππππ kupoteza ajira maana yake mfanya biashara atakaenunua kwanza atakata cost kwa kupunguza watu kwenye ajira ili aongeze mapato kwenye biasharaMashirika haya yanatumiwa vibaya na ndio vyanzo vikuu vya ufisadi if at all you getting the drift.
Unaposema watu watapoteza ajira, unamaanisha nini haswa na si eti Mashirika hayo yamefungwa?
wachina hata mm ninao na wanaitaka na kuitamani sanaπππππππKenya Ports Authority hii ndiyo imenivutia zaidi, itauzwa shillingi ngapi niitafutie mteja fasta nipige cha udalali au wachina wameshafika bei?
Isije ikawa ni "loan buy back strategy". Utasikia private investor hawako tayari kuwa wazi.Aisee mkiuza KPA bora muuze nchi yote, hiyo ndiyo iliyoshikilia uchumi wa Kenya kwa sasa, utalii, manufacturing na Agriculture vipo ICU.
watauza nchi watawaliwe na wachinaππππππππWakiyauza this time ili ku finance budget yao then next budget watauza nini ili kuifanance?
atachukua vp hatua wakat yeye mwenyewe fisadi papaππππHizi ni dili za familia ya kenyatta kunyakua mali ya wakenya kwa bei rahisi. Kama shida ni ufisadi kwa idara za serikali kwanini uhuru asichukue hatua kama magufuli?
why unaniita Pimbi? mammma ako ndo pimbi mkubwa mimi pimbi mdogowewe usifananishe yai na kuku kosa kubwa ambalo hua munalifanya nyie ni kujifananisha na developed countries, wale hawazungumzii njaa ajira na tiba, pimbi kweli weweπππππ
Sasa unataka kutuambia unemployment rate ya Tz ni sawa na zile za nchi za ulaya na Marekani and does that mean uchumi wenu na wa nchi za ulaya ni sawa in terms of ukubwa?sio yanatumiwa vibaya na mafisadi hata alieko juu yao pia ni fisadi tena fisadi papaππππππ kupoteza ajira maana yake mfanya biashara atakaenunua kwanza atakata cost kwa kupunguza watu kwenye ajira ili aongeze mapato kwenye biashara
kdf haiwezi pata mteja hata kwa ndumbaHiyo kdf itanunuliwa na wasomali labda
sikumbuki kama bajet ya magufuli utekelezaji ulifikia 50%........Kwani ninyi mbalinganisha bajeti yenu vs mapato yenu, au mbalinganisha bajeti yenu vs mapato ya Tanzania?.
Tanzania tunapanga bajeti yetu kutokana na mapato yetu, ndio sababu hatukopi sana wala hakuna madeni mengi na makubwa kama ninyi.
Ninyi mnapanga bajeti kubwa isiyoendana na kipato chenu, matokeo yake ndio haya, mtauza hadi vikombe vya jikoni.
endelea kujifananisha na USA do u think america wanawaza njaa na ajira ππππππππππwhy unaniita Pimbi? mammma ako ndo pimbi mkubwa mimi pimbi mdogo
hupendi ukweli au??? 78% of tanzanian are farmers hebu chukua picha ingiza kwenye akili yako inamaanisha nini??? kitu cha kuskitisha sana unataka kutuambia serekali inauza kwa sababu hakuna efficiency wakat serekali imekiri wazi inauza kwa sababu ya kujazia budget yenu, anyway KPA munauza shs ngapi nilete mteja sasa hviππππππππππππππSasa unataka kutuambia unemployment rate ya Tz ni sawa na zile za nchi za ulaya na Marekani and does that mean uchumi wenu na wa nchi za ulaya ni sawa in terms of ukubwa?
nawacheka kwasababu nchi inauza kila kitu kujazia budget wakat nje wanamadeni mpaka matakoni kutoka kwa mchina ππππππππsikumbuki kama bajet ya magufuli utekelezaji ulifikia 50%........
2017/18 kulingana na ripoti za bunge ilitekelezwa kwa 31%.........!!!!
nchi za kiafrika zote ni hohe-hahe! sijui kwnn unawacheka kenya!
Hahahahahahaha, nimefanya analysis nimegundua 63% of US economy ipo mikononi mwa watu Elfu 8, na 52% ya revenue hutumika kulipa mishahara ya watumishi wa umma ambao ni 2% ya population. Pia nimegundua kwamba kuanzia MCA, senators, wabunge, Governors, CS na PS wote wanapata 24/7 security paid by Government.I needed you to do some studies by yourself for information purposes to aid your thinking and analysis., naona una argue tu based on layman's thinking.
Poor farmers. Ukiwa mwanabiashara lazima utachagua ni njia ipi au biashara ipi utaiangazia kwa umakini ili upate faida ya kutosha sio kushikilia kila biashara ili usifike huko nje eti biashara zote ni zako hata kama hazikuletei faida. Hata KPA wauze bora ufisadi upungue sanasana kwa management of these parastatals wanaokula profits na development funds. Ikiwa privatised mwenye kuinunua itabidi awe makini asije akatumbukia kwa madeni na hasara lakini kwa sababu Tz ni ya ujamaa mambo ya biashara kuyaelewa ni ngumu haswa mapimbi kama wewe.hupendi ukweli au??? 78% of tanzanian are farmers hebu chukua picha ingiza kwenye akili yako inamaanisha nini??? kitu cha kuskitisha sana unataka kutuambia serekali inauza kwa sababu hakuna efficiency wakat serekali imekiri wazi inauza kwa sababu ya kujazia budget yenu, anyway KPA munauza shs ngapi nilete mteja sasa hviππππππππππππππ
Hujui kitu chochote huu ya utekelezaji wa bajeti ya nchi, bahati mbaya bungeni kumejaa vilaza kama wewe. Ngoja nikupe somo la bure, bajeti ya kipande cha SGR kati ya Dar-Moro ilitengwa katika budget ya 2015/16, lakini utekelezaji wake ulianza 2016/17, hii haina maana kwamba pesa hazikutolewa kipindi cha 2015/16, zilitolewa lakini utekelezaji huwa unaingia katika mwaka unaofuata wa budget, lakini hakuna mswada mpya unaletwa kuomba fedha upwa.sikumbuki kama bajet ya magufuli utekelezaji ulifikia 50%........
2017/18 kulingana na ripoti za bunge ilitekelezwa kwa 31%.........!!!!
nchi za kiafrika zote ni hohe-hahe! sijui kwnn unawacheka kenya!