Serikali ya Kenya muachieni Mchungaji Paul McKenzie haraka sana

Serikali ya Kenya muachieni Mchungaji Paul McKenzie haraka sana

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Naam,

Tunaitaka serikali ya Kenya, William ruto kumuachia haraka sana mchungaji, nabii Paul McKenzie kwani swala la vifo vya watu 73 ni la kijinga na la kipuuzi mno ni lakujitakiaa ujinga uliopitiliza.

Haiwezekan Hadi sasa karne hii Kuna watu wajinga na Bado wanaishi. Ni vyema sana watu wajinga kama wale 73 wafe tu kwani hawana msaada wowote na taifa la Kenya, na nchi itakuwa imepunguza idadi ya watu wajinga kama wale waliokufa kizembe namna ile huko kilifi Kenya.

Unaaminishwa ujinga na bado unafanya tena bila kushtuka kuwa tunadanganywa mnakufa mnaanza kuwasumbua watu na maafsa wa serekali kisa ujinga wenu? Mimi nasemaje wajinga wafe tu wabaki venye vile Wana akili hkn namna ya kupunguza ujinga kama huu.

Asante sana nabii Paulo MacKenzie kwa kutusadia kupunguza watu idadi ya watu wajinga dunia ,umefanya vyema mno watu wajinga ndio chanzo cha umasikini, wajinga ndio chanzo cha chuki kwenye jamii, wajinga ndio maadui wa maendeleeo SAS wakazi gani kuishi, si wanaleta uharibifu kweye jamii. Ingetakiwa wafe 1000 wataobaki watakuwa na akili na mambo yataenda vyema sana.

Tumechoka na ujinga huu wa imani, imani na dini diini, mtume, mtume, nabii, nabii huu ni ujinga sana nimechukiazwa sana, walokole ni watu wa ajabu sana kweny jamii very sorry, hawaambiliki wala kushaurika kwa lolote wacha wafe no way ingekuwa mm ruto Wala sijiangaishi kufukua makuburi yao badala yake nashindilia zege tu.
 
Nimesikiliza Interview yake na vyombo vya habari, Kuna mengi ambayo hayamhusu Mackenzie. Aliliuza swali kama aliwalazimisha? Aliwafungia mahali? Na by the way, aliachana na haya mambo since 2019 na vifo vimetokea mwaka huu. Anyway sijui ukweli ila kwa yale aliyoyaongea mmgh
 
Kenya nchi ya ajabu Sana na wanashabikia vitu vya hovyo kweli kweli.
✅ Kilikuwepo mbuzi Fulani lilijiita Mungu yaani JEHOVA WANYONYI. Majinga kibao yalijazana.

✅Sasa hivi Kuna mwendawazimu anajiita Yesu wa Tongareni wanamchekea tuu, na Wala hajawahi kukamatwa, wanamsubiri atoe amri kwa hayo mazezeta yasiyo na ubongo ndio washtuke.

✅ Hata masaani ya bongo huyapapatikia kweli, wakati huku bongo Wala hatuna time nao
 
Hkn sababu ya kubanwa Zaid Sana apongezwe kwa kupunguza watu wajinga kwmey jamii mnk kwa kutumia elimu wameshindwa kujieleeaa SAS wafe tu
Una hakika wahanga wana elimu??
Kuna clip madogo wanapakiwa kwenye boda ni vijana wadogo tu.

Na piq huyo pastor alikua hataki watoto waende shule. Kama unasali kanisani kwake ni hakuna shule.

Na kanisa haliaanza juzi wala jana ni kitambo 2003 huko ndo mwamba kaanzisha kanisa.

Abanwe kende huyo jamaa ni muuaji, imagine 2003 kulikua na kizazi cha aina gani?? Hii mitandao haikuwepo, kutapeliwa ilikua rahisi wakati huo.

Jamaa abanwe kende.
 
Kweli Dunia haiishi vituko

Yaani nimemkumbuka yule Mmarekani David Koresh alieanzisha Dini yake na mwisho kuuwawa yeye na waumini wake huko Wako Texss

Na mwingine Babu wa Loliondo hebu imagine angewanyesha sumu ya kuuwa baada ya miezi kadhaa je hapo tungemfunga Babu au nae tungesema aachiwe kwani wao ndio wapumbavu kunywa Yale maji?

Natafakari mengi sana ila sipati jibu kwa huyu mchungaji
Sijui amewasainisha na mali zao kabisa au
Maana Habari zinatoka kama episode vile
 
Nimesikiliza Interview yake na vyombo vya habari, Kuna mengi ambayo hayamhusu Mackenzie. Aliliuza swali kama aliwalazimisha? Aliwafungia mahali? Na by the way, aliachana na haya mambo since 2019 na vifo vimetokea mwaka huu. Anyway sijui ukweli ila kwa yale aliyoyaongea mmgh
Yawezekana ni kweli, swali.... Wakafa wakajizika ...
 
Una hakika wahanga wana elimu??
Kuna clip madogo wanapakiwa kwenye boda ni vijana wadogo tu.

Na piq huyo pastor alikua hataki watoto waende shule. Kama unasali kanisani kwake ni hakuna shule.

Na kanisa haliaanza juzi wala jana ni kitambo 2003 huko ndo mwamba kaanzisha kanisa.

Abanwe kende huyo jamaa ni muuaji, imagine 2003 kulikua na kizazi cha aina gani?? Hii mitandao haikuwepo, kutapeliwa ilikua rahisi wakati huo.

Jamaa abanwe kende.
Hata wee ubanwee tu hkn nmna una kautapeli fln hv
 
Kwa taarifa yako hao si walokole kama unavyowanasibisha. Hakuna walokole wapuuzi kama wale. Walokole wako smart sana katika kupembua na kutafsiri biblia katika uhalisia wake na hawadanganyiki na hawa mitume na manabii wa michongo kwa kuwa tayari wanajua siku za mwisho wataibuka manabii wa uwongo wakidanganya watu kwa mafundisho potofu. Hili suala la kufunga funga za ajabu ajabu lipo kwenye dini nyingi na linawaumiza wengi kiafya still watu wanaambiwa wafunge watapata thawabu kwa mungu, wanafunga masaa mengi bila kula. Ponea yao wanafunga muda usiozidi siku moja ndio maana hakuna madhara makubwa ila afya zinaathirika. Upuuzi upo mwingi ila kuna tofauti ya viwango. Wale wamekufa kwa kuwa wamezidisha muda wa kushinda njaa mwili ukakosa virutubisho vinavyohitajika kuujenga. Hizi fungafunga ni imani tu wala Mungu hahusiki nazo, ni mipango ya inayopangwa na wanadamu
 
Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Unaambiwa funga utapata thawabu kwa mungu, wengine wanasikika kwenye maspika wakieleza faida za kufunga kana kwamba ni madaktari wa afya na lishe. Wanaaminisha waumini wao kuwa wakifunga kula madhambi yao yote yanafutwa na mungu anafurahi. Imani za ajabu sana hizi.
 
Kwa taarifa yako hao si walokole kama unavyowanasibisha. Hakuna walokole wapuuzi kama wale. Walokole wako smart sana katika kupembua na kutafsiri biblia katika uhalisia wake na hawadanganyiki na hawa mitume na manabii wa michongo kwa kuwa tayari wanajua siku za mwisho wataibuka manabii wa uwongo wakidanganya watu kwa mafundisho potofu. Hili suala la kufunga funga za ajabu ajabu lipo kwenye dini nyingi na linawaumiza wengi kiafya still watu wanaambiwa wafunge watapata thawabu kwa mungu, wanafunga masaa mengi bila kula. Ponea yao wanafunga muda usiozidi siku moja ndio maana hakuna madhara makubwa ila afya zinaathirika. Upuuzi upo mwingi ila kuna tofauti ya viwango. Wale wamekufa kwa kuwa wamezidisha muda wa kushinda njaa mwili ukakosa virutubisho vinavyohitajika kuujenga. Hizi fungafunga ni imani tu wala Mungu hahusiki nazo, ni mipango ya inayopangwa na wanadamu
Katika hizo dini Uislam haupo hapo. Hakuna dini ya kati na kati kama Uislam. Usifiche fiche kujifanya eti "dini nyingi"weka wazi.
 
Back
Top Bottom