Serikali ya Kenya muachieni Mchungaji Paul McKenzie haraka sana

Serikali ya Kenya muachieni Mchungaji Paul McKenzie haraka sana

Tatizo pameibuka Injili ya kuhubiri fedha na mali.

Unakuta kanisa limejaa Masingle mother na Vijana wasio na KAZI Mwalimu au wenye KAZI maalumu lakini Wenye changamoto ya kuolewa au kuoa wakati huo huo Kuna wanaume Wachache majizi na Mafisadi wanaangalia Kwa umakini namna ya kupata mawindo ya Masingle mother na wengine kutafuta namna ya kuwafanya Vijana kuwa nyumba ndogo zao na machawa au Mashoga Zao. Wakati huo huo anayejiita Nabii au Mchungaji KAZI yake ni kuwapamba Kwa mahubiri ya utajirisho na Baraka.

Kama Kuna wakati Wa ya KUFANYA mahubiri na Injili ya kukemea dhambi na Kuomba rehema basi ni Wakati huu Wa kizazi hiki.
Lakini Hali ni Tofauti kwani pameibuka wimbi la wachungaji na manabii ambao ni zao la kukosekana Kwa ajira au tamaa ya fedha Hao ndio wanaowafanya Wakristo na walaokole Wote waonekane ni watu Wa Hovyo .
Sahih kbsa mkubwa
 
Back
Top Bottom