Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Wewe unaefurahia watu kufa ndo unanwe titi hizo.Hata wee ubanwee tu hkn nmna una kautapeli fln hv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaefurahia watu kufa ndo unanwe titi hizo.Hata wee ubanwee tu hkn nmna una kautapeli fln hv
Hakuna kundi la wapumbavu ndani ya Ukristo kama warokole mbona wakatoliki, wasabato, warutheran ni watu simart huwezi kuta wanafanya upumbavu kama warokole, kiufupi warokole ni watu wa hovyo.Fahamuni kuwa walokole hawana imani za kishenzi kama zile. Ni watu wenye hekima na busara katika dunia hii, hawapendi dhambi, ni kukemea maovu yote. Wamejaaliwa neema kubwa kuuponya ulimwengu
acha upotoshaji, umesahau ya wasabato masaliia? Fahamu kuwa kote ni pumba tupu, hata unakoabudu mwendo ni uleule wa udanganyifuHakuna kundi la wapumbavu ndani ya Ukristo kama warokole mbona wakatoliki, wasabato, warutheran ni watu simart huwezi kuta wanafanya upumbavu kama warokole, kiufupi warokole ni watu wa hovyo.
Kubali ukatae warokole ni watu walio jaa upuuzi mwingi huwezi fananinisha na wasabato.acha upotoshaji, umesahau ya wasabato masaliia? Fahamu kuwa kote ni pumba tupu, hata unakoabudu mwendo ni uleule wa udanganyifu
Huyo Nabii Feki anatakiwa auwe Kwa kupewa uji Wa unga Wa sementi.Naam,
Tunaitaka serikali ya Kenya, William ruto kumuachia haraka sana mchungaji, nabii Paul McKenzie kwani swala la vifo vya watu 73 ni la kijinga na la kipuuzi mno ni lakujitakiaa ujinga uliopitiliza.
Haiwezekan Hadi sasa karne hii Kuna watu wajinga na Bado wanaishi. Ni vyema sana watu wajinga kama wale 73 wafe tu kwani hawana msaada wowote na taifa la Kenya, na nchi itakuwa imepunguza idadi ya watu wajinga kama wale waliokufa kizembe namna ile huko kilifi Kenya.
Unaaminishwa ujinga na bado unafanya tena bila kushtuka kuwa tunadanganywa mnakufa mnaanza kuwasumbua watu na maafsa wa serekali kisa ujinga wenu? Mimi nasemaje wajinga wafe tu wabaki venye vile Wana akili hkn namna ya kupunguza ujinga kama huu.
Asante sana nabii Paulo MacKenzie kwa kutusadia kupunguza watu idadi ya watu wajinga dunia ,umefanya vyema mno watu wajinga ndio chanzo cha umasikini, wajinga ndio chanzo cha chuki kwenye jamii, wajinga ndio maadui wa maendeleeo SAS wakazi gani kuishi, si wanaleta uharibifu kweye jamii. Ingetakiwa wafe 1000 wataobaki watakuwa na akili na mambo yataenda vyema sana.
Tumechoka na ujinga huu wa imani, imani na dini diini, mtume, mtume, nabii, nabii huu ni ujinga sana nimechukiazwa sana, walokole ni watu wa ajabu sana kweny jamii very sorry, hawaambiliki wala kushaurika kwa lolote wacha wafe no way ingekuwa mm ruto Wala sijiangaishi kufukua makuburi yao badala yake nashindilia zege tu.
Wakati Wa hija mwanzoni watu waliokua wanaoufa sana kwa kukanyagana . Walikua wanakufa Kwa mamia wakati Wa kumpiga Shetani mawe.Narudia tena hapa Waislam hawahusiki wala hili halifananii na Uislam. Hili sio tatizo la Waislam. Lijadiliwe hivyo. Sio mnaanza kuingiza ingiza Uislam.
Msifiche fiche.
Walokole mnazingua sana nyie, mambo mengi ya hovyo ni nyie ndo waanzilishi.acha upotoshaji, umesahau ya wasabato masaliia? Fahamu kuwa kote ni pumba tupu, hata unakoabudu mwendo ni uleule wa udanganyifu
fahamu kuwa hao unaowashutumu ndio mastering wa mienendo mema katika dunia hii. Ni wahuni ndio wanaoteketeza waumini wao, hakuna walokole wa kariba hiyo asilaniWalokole mnazingua sana nyie, mambo mengi ya hovyo ni nyie ndo waanzilishi.
fahamu kuwa hao unaowashutumu ndio mastering wa mienendo mema katika dunia hii. Ni wahuni ndio wanaoteketeza waumini wao, hakuna walokole wa kariba hiyo asilaniWalokole mnazingua sana nyie, mambo mengi ya hovyo ni nyie ndo waanzilishi.
Mienendo gani wakati tunawaona, kila kona kanisa.fahamu kuwa hao unaowashutumu ndio mastering wa mienendo mema katika dunia hii. Ni wahuni ndio wanaoteketeza waumini wao, hakuna walokole wa kariba hiyo asilani
kwa nini ujisikie vibaya kuwepo kanisa kila kona? Msipende kuwahusisha walokole na wahuniMienendo gani wakati tunawaona, kila kona kanisa.
watam charge kwa kosa gani ?
Kumhamasisha mtu kwa maneno akaibe kuku bila wewe kumsaidia kumuuza kuku au kumuazima kisu cha kumchinjia, ni kosa ?
Hakuna kundi la wapumbavu ndani ya Ukristo kama warokole mbona wakatoliki, wasabato, warutheran ni watu simart huwezi kuta wanafanya upumbavu kama warokole, kiufupi warokole ni watu wa hovyo.
Bora kila sehemu kuwepo kanisa kuliko bar na madanguro.Mienendo gani wakati tunawaona, kila kona kanisa.
Walokole mnazingua sana nyie, mambo mengi ya hovyo ni nyie ndo waanzilishi.
Ila waislam sikuhizi wamepata akili sio kama enzi hizo wanajilipua wakiaminishwa kuwahi mabikra huko ahera,.. Du dini hizi kazi tunayoNarudia tena hapa Waislam hawahusiki wala hili halifananii na Uislam. Hili sio tatizo la Waislam. Lijadiliwe hivyo. Sio mnaanza kuingiza ingiza Uislam.
Msifiche fiche.
Tatizo pameibuka Injili ya kuhubiri fedha na mali.fahamu kuwa hao unaowashutumu ndio mastering wa mienendo mema katika dunia hii. Ni wahuni ndio wanaoteketeza waumini wao, hakuna walokole wa kariba hiyo asilani