LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
unawashwa nini we mfia dini? Mbona unajishuku?Katika hizo dini Uislam haupo hapo. Hakuna dini ya kati na kati kama Uislam. Usifiche fiche kujifanya eti "dini nyingi"weka wazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unawashwa nini we mfia dini? Mbona unajishuku?Katika hizo dini Uislam haupo hapo. Hakuna dini ya kati na kati kama Uislam. Usifiche fiche kujifanya eti "dini nyingi"weka wazi.
Sema tu Waislam, unaficha ficha nini wewe Islamophobe?Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Unaambiwa funga utapata thawabu kwa mungu, wengine wanasikika kwenye maspika wakieleza faida za kufunga kana kwamba ni madaktari wa afya na lishe. Wanaaminisha waumini wao kuwa wakifunga kula madhambi yao yote yanafutwa na mungu anafurahi. Imani za ajabu sana hizi.
Ishu ni walokole wamejiua kwa njaa na kuwaua na watoto wao. Lijadiliwe hilo. Acha mbambamba.unawashwa nini we mfia dini? Mbona unajishuku?
Hivi ameshafungua uzi wowote kuzungumzia uzombi huu na ule aliyemla nyama mtoto wake? Maana hawa ni ndugu zake kabisa. Au yeye anawaonea huruma zaidi WaIran na Wa Ukraine?Inasikitisha mno ,MK254 amepona kweli kwenye huo mkasa ?
Inasikitisha mno ,MK254 amepona kweli kwenye huo mkasa ?
Toka nigundue dini ni uongo nishaacha kwenda kanisani
wamekufaje, mambo ni haya haya ya dini, acha kuficha ujinga kwenye dini, unajua dini vizuri lakini? Mkiambiwa fungeni mnafunga bila kujihoji ni agizo la Mungu au binadamu. Usijione uko tofauti na hao walifunga mpaka wakafa wakati na wewe una dini inayokutaka ufunge kula kila mwaka msimu wa kufunga ukifikaIshu ni walokole wamejiua kwa njaa na kuwaua na watoto wao. Lijadiliwe hilo. Acha mbambamba.
Narudia tena hapa Waislam hawahusiki wala hili halifananii na Uislam. Hili sio tatizo la Waislam. Lijadiliwe hivyo. Sio mnaanza kuingiza ingiza Uislam.wamekufaje, mambo ni haya haya ya dini, acha kuficha ujinga kwenye dini, unajua dini vizuri lakini? Mkiambiwa fungeni mnafunga bila kujihoji ni agizo la Mungu au binadamu. Usijione uko tofauti na hao walifunga mpaka wakafa wakati na wewe una dini inayokutaka ufunge kula kila mwaka msimu wa kufunga ukifika
Unatusema watanzania na ccm yetu na waiba mali ya umma?. Si ndio fumbo lako🤣Haiwezekan Hadi sasa karne hii Kuna watu wajinga na Bado wanaishi.
Mbona una kiherere we mfia dini mwingine, kuna mtu kataja uislamu hapo? Tunajidili wamekufa kwa kufunga. Hao waliokufa kwa kufunga wamezidisha muda mrefu bila mwili kupata chakula cha kuujenga. Wafungaji wako wengi, kila dini wapo ila wengine wanafunga kwa masaa yasiyozidi siku moja ndio maana wao wanadunda kwa kuwa jioni wanakula. Wafungaji wako wengi kwenye dini usilete kiherere cha kujishuku wakati huna tofauti na hao waliojifia kwa kufunga kulaNarudia tena hapa Waislam hawahusiki wala hili halifananii na Uislam. Hili sio tatizo la Waislam. Lijadiliwe hivyo. Sio mnaanza kuingiza ingiza Uislam.
Msifiche fiche.
Ni walokole nguli kabisaKwa taarifa yako hao si walokole kama unavyowanasibisha. Hakuna walokole wapuuzi kama wale. Walokole wako smart sana katika kupembua na kutafsiri biblia katika uhalisia wake na hawadanganyiki na hawa mitume na manabii wa michongo kwa kuwa tayari wanajua siku za mwisho wataibuka manabii wa uwongo wakidanganya watu kwa mafundisho potofu. Hili suala la kufunga funga za ajabu ajabu lipo kwenye dini nyingi na linawaumiza wengi kiafya still watu wanaambiwa wafunge watapata thawabu kwa mungu, wanafunga masaa mengi bila kula. Ponea yao wanafunga muda usiozidi siku moja ndio maana hakuna madhara makubwa ila afya zinaathirika. Upuuzi upo mwingi ila kuna tofauti ya viwango. Wale wamekufa kwa kuwa wamezidisha muda wa kushinda njaa mwili ukakosa virutubisho vinavyohitajika kuujenga. Hizi fungafunga ni imani tu wala Mungu hahusiki nazo, ni mipango ya inayopangwa na wanadamu
hao sio walokole acheni kuwapa sifa ambazo si zao. Walokole gani wapuuzi kama wale wajifie kijinga vile? Unataka nikuoneshe makanisa ya walokole yote ukaingie uone kama kuna ujinga ule? Unawajua walokole vizuri lakini?Ni walokole nguli kabisa
Bas wafe tu wajinga woteWatu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Unaambiwa funga utapata thawabu kwa mungu, wengine wanasikika kwenye maspika wakieleza faida za kufunga kana kwamba ni madaktari wa afya na lishe. Wanaaminisha waumini wao kuwa wakifunga kula madhambi yao yote yanafutwa na mungu anafurahi. Imani za ajabu sana hizi.
Sahihi kbsaaIshu ni walokole wamejiua kwa njaa na kuwaua na watoto wao. Lijadiliwe hilo. Acha mbambamba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] loti bhjaaawamekufaje, mambo ni haya haya ya dini, acha kuficha ujinga kwenye dini, unajua dini vizuri lakini? Mkiambiwa fungeni mnafunga bila kujihoji ni agizo la Mungu au binadamu. Usijione uko tofauti na hao walifunga mpaka wakafa wakati na wewe una dini inayokutaka ufunge kula kila mwaka msimu wa kufunga ukifika
Sahihi kbsa mkuu Wala mm sikuwataja waislamu mm nimewataja wakristo waislmu wako vzr kwenye kufunga kwa utaratibu unao eleweka kote dunianiNarudia tena hapa Waislam hawahusiki wala hili halifananii na Uislam. Hili sio tatizo la Waislam. Lijadiliwe hivyo. Sio mnaanza kuingiza ingiza Uislam.
Msifiche fiche.
Waislamu si nao wana tawi la magaidi?Katika hizo dini Uislam haupo hapo. Hakuna dini ya kati na kati kama Uislam. Usifiche fiche kujifanya eti "dini nyingi"weka wazi.
hao sio walokole acheni kuwapa sifa ambazo si zao. Walokole gani wapuuzi kama wale wajifie kijinga vile? Unataka nikuoneshe makanisa ya walokole yote ukaingie uone kama kuna ujinga ule? Unawajua walokole vizuri lakini?