Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru kwa kunijibu...Sasa naomba shule ulokole maana yake nini na ili mtu awe mlokole anapaswa awe na sifa zipi na si mbaya ukasindikiza na andiko kwenye biblia linaloonyesha ulokole ndo ufuatwe si lutheri,Catholic nk.nakujibu, mwamposa ni mhubiri wa huduma ya maombezi inayoitwa inuka uangaze, gwajima ni mchungaji na askofu mkuu wa makanisa yake ya ufufuo na uzima, mwakasege ni mwalimu wa kilutheri mwenye huduma yake inayojitegemea iitwayo mana. Wote hawa wanahubiri kama wapentekoste mliozoea kuwaita walokole. Wawili kati yao wamepitia upentekoste kabla ya kuanzisha huduma zao. Ifahamike kuwa wapentekoste hawakubalaini na mafundisho yao kwa kuwa kuna mafundisho wanayofundisha si ya kipentekoste yaani yako nje na upentekoste. Kwa hiyo wakifanya mabaya wasihusishwe na ulokole wale wana imani zao
ulokole ni neno la kejeli na dhihaka, asili yake ni uganda. Neno hili halipo kwenye biblia na wala si dini. Lilikuwa ni neno la kuwakejeli na kuwadhiki waumini waliojitenga na uovu wa dunia hii na kushika mafundisho ya Mungu. Wajua hata hapa kwetu neno hili lilipoingia lilipamba sana kiasi cha kukubalika hata na wapentekoste wenyewe ambao wanajitambua kuwa wameokoka, yaani wamejitenga na dhambi za dunia hii na kushika amri za Mungu na maagizo yake. Jina hili walokole wenyewe hawalipendi na hawalikubali kiasi cha kulitupilia mbali kwa hao wasioshika amri za Mungu huku wanasema wameokoka. Kwenye biblia hakuna msamiati huo. Dhana ya ulokole ilikuwa ni dharau kwa jamii ya wakristo walijitenga na uovuNashukuru kwa kunijibu...Sasa naomba shule ulokole maana yake nini na ili mtu awe mlokole anapaswa awe na sifa zipi na si mbaya ukasindikiza na andiko kwenye biblia linaloonyesha ulokole ndo ufuatwe si lutheri,Catholic nk.
NB:Nahitaji kujua tu nijifunze
waliibuka miaka ya hivi karibuni, wana vituko vingi sana, wanazoa watu ambao hawajui maandikoHawa manabii na mitume feki wanaudhi ila wafuasi wao wanaudhi zaidi. Acha wafe tu.
Inasikitisha mno ,MK254 amepona kweli kwenye huo mkasa ?
kwa wakristo walioshiba neno wanajua nini kinatokea duniani, hawana hofu na hatishiki na uvumi wa mafundisho feki. Hata wakiambiwa Yesu yuko kule haiwashitui. Kimbembe kiko kwa wasiojua maandiko matakatifu, watulie wafundishwe kweli wasije wakasombwa na dhoruba hizi kama za kenyaHaya yalitabiriwa, watakuja manabii na mitume wa uwongo na Wakristo watapitia hali ngumu sana ya kuyumbishwa, Wakristo watachinjwa pia (kumbuka jinsi huwa mnawachinja), yeyote ambaye hajaushika Ukristo wake vizuri atayumba.
Hata sisi yalitabira watatokea maKhawarij(extremist) ambao watavuka mipaka katika dini watawaona hata Waislamu wenzao hawashiki dini vizuri na kuwauwa pamoja na wengine wasiokubali misimamo yao .Haya yalitabiriwa, watakuja manabii na mitume wa uwongo na Wakristo watapitia hali ngumu sana ya kuyumbishwa, Wakristo watachinjwa pia (kumbuka jinsi huwa mnawachinja), yeyote ambaye hajaushika Ukristo wake vizuri atayumba.
Hata sisi yalitabira watatokea maKhawarij(extremist) ambao watavuka mipaka katika dini watawaona hata Waislamu wenzao hawashiki dini vizuri na kuwauwa pamoja na wengine wasiokubali misimamo yao .
Rejea hao chinja njia wanalipua mpaka vitoto , msikitini hata awe Muislamu ilimradi hajawafuata basi huyo sio mwenzao ni kifo tu.
Uko sahhi San wkt mwingine nao wanajitoa ufahamu wahedWaislamu si nao wana tawi la magaidi?
Wanafundishwa ujinga hadi wanajilipua?
Ndio nikiwa mjinga nitakufa Kweli yaaniNa wewe utakufa pia acha ujinga...
Kwa taarifa yako hao si walokole kama unavyowanasibisha. Hakuna walokole wapuuzi kama wale. Walokole wako smart sana katika kupembua na kutafsiri biblia katika uhalisia wake na hawadanganyiki na hawa mitume na manabii wa michongo kwa kuwa tayari wanajua siku za mwisho wataibuka manabii wa uwongo wakidanganya watu kwa mafundisho potofu. Hili suala la kufunga funga za ajabu ajabu lipo kwenye dini nyingi na linawaumiza wengi kiafya still watu wanaambiwa wafunge watapata thawabu kwa mungu, wanafunga masaa mengi bila kula. Ponea yao wanafunga muda usiozidi siku moja ndio maana hakuna madhara makubwa ila afya zinaathirika. Upuuzi upo mwingi ila kuna tofauti ya viwango. Wale wamekufa kwa kuwa wamezidisha muda wa kushinda njaa mwili ukakosa virutubisho vinavyohitajika kuujenga. Hizi fungafunga ni imani tu wala Mungu hahusiki nazo, ni mipango ya inayopangwa na wanadamu
unaijua funga ya walokole lakini? Acheni kuhusisha walokole na imani za kishenzi. Padri/sheikh hawezi kuongeza vitu ambavyo havipo kwenye mifumo yao ya kuabudu. Wakatoliki wana liturujia na waislam wana msaafu wao kuwaongoza namna ya kufanya ibada zao, hakuna anayeleta yake. Walokole wako samart sana kuhusu mafundisho feki, hawadanganyiki na mitume na manabii feki,
usichanganye wali na matango pori, hao unaowataja kwa taarifa yako si walokole unaomaanisha. Wale ni wakengeufu walioanzisha imani zao za upotoshaji wala walokole hawawatambui. Fahamu kwanza dhana ya ulokole ndio ufananishe, ulinganishe na utofautishe na walokole, usinichoshe kwa kurudiarudia kuelelezea dhana ya ulokole nimeshatoa ufafanuzi kwenye nyuzi zinazohusu washenzi hao mnaowahusisha na ulokolePole sana
Sasa ikawaje kwa Kibwetele?
Kwa Mwamposa ikawaje kwenye mafuta?
Ok na huyo Mackenzie nae utasema ni islam?
Huyo alojiita yesu hapo Kenya baada kuambiwa atasulubiwa pasaka ilopita kakimbia kureport polisi sio chaka la walokole?
Hiyo mifano ya maswali nilokuuliza ukiitoa kwenye ulokole utaiweka dhehebu gani?
Ogopa sana kumuamini mtu badala ya Mungu
Waisalmu ndio wanao ongoza kuchukuwa mafuta ya mwamposaPole sana
Sasa ikawaje kwa Kibwetele?
Kwa Mwamposa ikawaje kwenye mafuta?
Ok na huyo Mackenzie nae utasema ni islam?
Huyo alojiita yesu hapo Kenya baada kuambiwa atasulubiwa pasaka ilopita kakimbia kureport polisi sio chaka la walokole?
Hiyo mifano ya maswali nilokuuliza ukiitoa kwenye ulokole utaiweka dhehebu gani?
Ogopa sana kumuamini mtu badala ya Mungu