Naomba kujuzwa, mnaposema kuwa uchumi wa Kenyaumeshuka au upo ICU nisaidieni jamani, Ukifika pale mpakani Sirari/Isibania Ksh 1 - Tshs 22500/ Tuseme shilingi yenye nguvu ni hii ta kwetu au ni ile ya jirani? Nimeuliza tu kwa akili yangu fupi mnisaidie. Ni uchumi upi imara hapo?
MK254 pengine anajuaDuh, kwani zimeenda wapi hizo hela na akiba?
Wakija hapa,watakwambia wao Ni Giants hapa East Africa.Hadi uhuru atoke watabeba pesa kwenye magunia
Mkuu unaielewa wowote kuhusu money economy?Mbna Tanzania tumechapisha pesa mpya Mara kadhaa Hivi ilitusaidia kunyenyua uchumi?
Hebu atujuze zaidi hapaMK254 pengine anajua
Sisi waaftika buana, mzungu katuloga na hela yaaniLooters wanazibaba na viroba
Kanzu mpya lakini shekhe ni yule yule! Kuzaliwa mweusi ni kama laanaHadi leo bado najiuliza hiyo katiba mpya imewasaidia nini? Sijapata jibu
Now I know why their country is backward. The population is illiterate and idiotic and the rulers have no understanding of monetary policy.kawaida unakuwanga kichwa malenge lakini hapa umechoma zaidi! wewe huwezi saidika karne hii....
1. Central Bank ya Kenya (kwa maelezo yako inaonekana kwamba tz hakuna central bank au haujui jinsi inavyo endesha shughuli) is the banker for, adviser to and fiscal agent of the Government of Kenya. Isitoshe, Central Bank hutoa mikopo kwa commercial banks na hapo hupata faida kutokana na interest.
2. Kenya kuna shirika linaloitwa Kenya Deposit Insurance Coporation ambalo lina jukumu ya kulinda pesa za wateja ikitokea kwamba bank fulani imefilisika. HOME . isitoshe, ikiwa bank imefilisika, wateja hulipwa hela zao lakini sio zote kwani ni % kidogo tu inashikiliwa na shirika hilo kwahivyo kuna njia zingine mbadala hutumika kujaribu kufidia wateja.
3.Point yako ya tatu ni uharo na inaonyesha haujui jinsi central bank huendeshwa.
** natumai uzii huu utakusaidia hapo tanzagiza! Wakenya itabidi tuanze kulipisha hii elimu tunayoleta hapa jf.
2.
Baada ya kugundua kwamba umeshindwa kutetea hoja zako sasa unabaki kupiga kelele kama mbwa. Ninekuwekea Inflation rate ya Tanzania, umeshindwa kuweka LINK yenye kuthibitisha kwamba Kenya inflation rate is the lowest in East Africa, umekimbia unaleta kelele za kijinga.Kwa akili ya watanzania pia britain iko broke, kwa sababu treasury ya hiyo nchi inachukua overdraft kubwa kwa benki kuu ya huko (10% of GDP) kufinance liquidity in the market hii wakati ya Covid 19.
Now I know why their country is backward. The population is illiterate and idiotic and the rulers have no understanding of monetary policy.
I bet if they hear about quantitative easing their heads will explode.
Ume ambiwa vizuri wewe ni kichwa malenga hapo juu.Baada ya kugundua kwamba umeshindwa kutetea hoja zako sasa unabaki kupiga kelele kama mbwa. Ninekuwekea Inflation rate ya Tanzania, umeshindwa kuweka LINK yenye kuthibitisha kwamba Kenya inflation rate is the lowest in East Africa, umekimbia unaleta kelele za kijinga.
Wacha nikupe ushauri wa bure!! Rudi shuleni ukaitishe karo wazazi walilipa uwarudishie. Hii yako ni ujinga ya kuzaliwa siyo ya kukosa lishe bora vile WFP husema.Baada ya kugundua kwamba umeshindwa kutetea hoja zako sasa unabaki kupiga kelele kama mbwa. Ninekuwekea Inflation rate ya Tanzania, umeshindwa kuweka LINK yenye kuthibitisha kwamba Kenya inflation rate is the lowest in East Africa, umekimbia unaleta kelele za kijinga.
kwani kuna Giant mwingine zaidi ya Kenya ukanda huu wa Afrika Mashariki?Wakija hapa,watakwambia wao Ni Giants hapa East Africa.
Hivi pesa zinakuwa zimehamia wapi? Kama ni makusanyo, si wanakisanya nyingi?Serekali imetikia Hali mbaya kiasi Cha kufikia wazo la kuprint pesa mpya ili kuiwesesha kulipa madeni.
View attachment 1593130
Hata pesa ya Burundi na Zimbabwe ipo juu ya Tanzania so hilo wala sio la maana.Naomba kujuzwa, mnaposema kuwa uchumi wa Kenyaumeshuka au upo ICU nisaidieni jamani, Ukifika pale mpakani Sirari/Isibania Ksh 1 - Tshs 22500/ Tuseme shilingi yenye nguvu ni hii ta kwetu au ni ile ya jirani? Nimeuliza tu kwa akili yangu fupi mnisaidie. Ni uchumi upi imara hapo?
Nawe huna uhakika kama uliemkosoa tuSio kweli kama dollar 1 ni sawa na Tsz2200 iweje hela ya Kenya iwe 22,500 hakuna hela yenye thamani hiyo duniani labda useme 1 ks ni 25Tzs
Is Kenya inflation rate the lowest in East Africa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ume ambiwa vizuri wewe ni kichwa malenga hapo juu.
i) Nime kukosoa mara nyingi kwa huu uzi kuhusu deni ya ndani ya Kenya.
ii) Nimekurudisha darasani kuhusu vile central bank ya nchi hufanya kazi.
iii) Hukujua kuwa serikali zote huwa na overdraft facility katika benki kuu.
iv) Haya masomo yote umepuuza ukabaki kushikilia utanzania (ujinga ya kuzaliwa) kwa vile reality iko tofauti na fikra zenyu za kichawi.
Mwenzako Geza akatuma link akifikiria itamsaidia, kumbe kwa sababu hajui kusoma iikuwa inaipa support points zangu.
NB: Nimeona watanzania wengi wajinga lakini leo nimekutana na babu ya wajinga. Yani hujui kitu na uko busy kupayuka.
Two points concluded and mutually agreedWacha nikupe ushauri wa bure!! Rudi shuleni ukaitishe karo wazazi walilipa uwarudishie. Hii yako ni ujinga ya kuzaliwa siyo ya kukosa lishe bora vile WFP husema.
Ajabu ya mzazi kuuza ngombe, kupeleka ngombe ingine shuleni!!!!!!