Serikali ya Kenya yafilisika, yachapisha pesa toka CBK

Naomba kujuzwa, mnaposema kuwa uchumi wa Kenyaumeshuka au upo ICU nisaidieni jamani, Ukifika pale mpakani Sirari/Isibania Ksh 1 - Tshs 22500/ Tuseme shilingi yenye nguvu ni hii ta kwetu au ni ile ya jirani? Nimeuliza tu kwa akili yangu fupi mnisaidie. Ni uchumi upi imara hapo?
 
Sio kweli kama dollar 1 ni sawa na Tsz2200 iweje hela ya Kenya iwe 22,500 hakuna hela yenye thamani hiyo duniani labda useme 1 ks ni 25Tzs
Naomba kujuzwa, mnaposema kuwa uchumi wa Kenyaumeshuka au upo ICU nisaidieni jamani, Ukifika pale mpakani Sirari/Isibania Ksh 1 - Tshs 22500/ Tuseme shilingi yenye nguvu ni hii ta kwetu au ni ile ya jirani? Nimeuliza tu kwa akili yangu fupi mnisaidie. Ni uchumi upi imara hapo?
 
Hadi leo bado najiuliza hiyo katiba mpya imewasaidia nini? Sijapata jibu
 
Kwa akili ya watanzania pia britain iko broke, kwa sababu treasury ya hiyo nchi inachukua overdraft kubwa kwa benki kuu ya huko (10% of GDP) kufinance liquidity in the market hii wakati ya Covid 19.
kawaida unakuwanga kichwa malenge lakini hapa umechoma zaidi! wewe huwezi saidika karne hii....

1. Central Bank ya Kenya (kwa maelezo yako inaonekana kwamba tz hakuna central bank au haujui jinsi inavyo endesha shughuli) is the banker for, adviser to and fiscal agent of the Government of Kenya. Isitoshe, Central Bank hutoa mikopo kwa commercial banks na hapo hupata faida kutokana na interest.
2. Kenya kuna shirika linaloitwa Kenya Deposit Insurance Coporation ambalo lina jukumu ya kulinda pesa za wateja ikitokea kwamba bank fulani imefilisika. HOME . isitoshe, ikiwa bank imefilisika, wateja hulipwa hela zao lakini sio zote kwani ni % kidogo tu inashikiliwa na shirika hilo kwahivyo kuna njia zingine mbadala hutumika kujaribu kufidia wateja.
3.Point yako ya tatu ni uharo na inaonyesha haujui jinsi central bank huendeshwa.

** natumai uzii huu utakusaidia hapo tanzagiza! Wakenya itabidi tuanze kulipisha hii elimu tunayoleta hapa jf.
2.
Now I know why their country is backward. The population is illiterate and idiotic and the rulers have no understanding of monetary policy.

I bet if they hear about quantitative easing their heads will explode.
 
Kwa akili ya watanzania pia britain iko broke, kwa sababu treasury ya hiyo nchi inachukua overdraft kubwa kwa benki kuu ya huko (10% of GDP) kufinance liquidity in the market hii wakati ya Covid 19.

Now I know why their country is backward. The population is illiterate and idiotic and the rulers have no understanding of monetary policy.

I bet if they hear about quantitative easing their heads will explode.
Baada ya kugundua kwamba umeshindwa kutetea hoja zako sasa unabaki kupiga kelele kama mbwa. Ninekuwekea Inflation rate ya Tanzania, umeshindwa kuweka LINK yenye kuthibitisha kwamba Kenya inflation rate is the lowest in East Africa, umekimbia unaleta kelele za kijinga.
 
Ume ambiwa vizuri wewe ni kichwa malenga hapo juu.
i) Nime kukosoa mara nyingi kwa huu uzi kuhusu deni ya ndani ya Kenya.
ii) Nimekurudisha darasani kuhusu vile central bank ya nchi hufanya kazi.
iii) Hukujua kuwa serikali zote huwa na overdraft facility katika benki kuu.
iv) Haya masomo yote umepuuza ukabaki kushikilia utanzania (ujinga ya kuzaliwa) kwa vile reality iko tofauti na fikra zenyu za kichawi.

Mwenzako Geza akatuma link akifikiria itamsaidia, kumbe kwa sababu hajui kusoma iikuwa inaipa support points zangu.

NB: Nimeona watanzania wengi wajinga lakini leo nimekutana na babu ya wajinga. Yani hujui kitu na uko busy kupayuka.
 
Wacha nikupe ushauri wa bure!! Rudi shuleni ukaitishe karo wazazi walilipa uwarudishie. Hii yako ni ujinga ya kuzaliwa siyo ya kukosa lishe bora vile WFP husema.
Ajabu ya mzazi kuuza ngombe, kupeleka ngombe ingine shuleni!!!!!!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Na bado
Tena hivi wapo kwenye campaign za uchaguzi ngoja wachinjane 2022 ndio inakua mwisho wao

Yaani nikikumbuka namna wakenya walivyokua wakituombea mikosi kipindi cha Corona sina hamu nao, tena ndio Nafurahi sababu karma is a bitch 😅😅😅😅
 
Naomba kujuzwa, mnaposema kuwa uchumi wa Kenyaumeshuka au upo ICU nisaidieni jamani, Ukifika pale mpakani Sirari/Isibania Ksh 1 - Tshs 22500/ Tuseme shilingi yenye nguvu ni hii ta kwetu au ni ile ya jirani? Nimeuliza tu kwa akili yangu fupi mnisaidie. Ni uchumi upi imara hapo?
Hata pesa ya Burundi na Zimbabwe ipo juu ya Tanzania so hilo wala sio la maana.
 
Ume ambiwa vizuri wewe ni kichwa malenga hapo juu.
i) Nime kukosoa mara nyingi kwa huu uzi kuhusu deni ya ndani ya Kenya.
ii) Nimekurudisha darasani kuhusu vile central bank ya nchi hufanya kazi.
iii) Hukujua kuwa serikali zote huwa na overdraft facility katika benki kuu.
iv) Haya masomo yote umepuuza ukabaki kushikilia utanzania (ujinga ya kuzaliwa) kwa vile reality iko tofauti na fikra zenyu za kichawi.

Mwenzako Geza akatuma link akifikiria itamsaidia, kumbe kwa sababu hajui kusoma iikuwa inaipa support points zangu.

NB: Nimeona watanzania wengi wajinga lakini leo nimekutana na babu ya wajinga. Yani hujui kitu na uko busy kupayuka.
Is Kenya inflation rate the lowest in East Africa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wacha nikupe ushauri wa bure!! Rudi shuleni ukaitishe karo wazazi walilipa uwarudishie. Hii yako ni ujinga ya kuzaliwa siyo ya kukosa lishe bora vile WFP husema.
Ajabu ya mzazi kuuza ngombe, kupeleka ngombe ingine shuleni!!!!!!
Two points concluded and mutually agreed

1)Ulisema "Unlike other African countries, majority of Kenya debts is local". Hii nimekuthibitishiand kwamba sio kweli umedanganya, by May, 2020, Deni la Kenya ilikua Ksh 6.6trl:
Domestic debt : 3.2trl
External debt : 3.49 trl

Hili tumekubaliana kwamba ulidanganya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

2)Ulisema Kenyan inflation rate is the lowest in East Africa, nimekuwekea link kuthibitisha kwamba umedanganya

Kenya inflation rate is : 4.2%
Tanzania. 3.3%

Hii nayo umedanganya na tumekubaliana katika hilo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom