kawaida unakuwanga kichwa malenge lakini hapa umechoma zaidi! wewe huwezi saidika karne hii....
1. Central Bank ya Kenya (kwa maelezo yako inaonekana kwamba tz hakuna central bank au haujui jinsi inavyo endesha shughuli) is the banker for, adviser to and fiscal agent of the Government of Kenya. Isitoshe, Central Bank hutoa mikopo kwa commercial banks na hapo hupata faida kutokana na interest.
2. Kenya kuna shirika linaloitwa Kenya Deposit Insurance Coporation ambalo lina jukumu ya kulinda pesa za wateja ikitokea kwamba bank fulani imefilisika.
HOME . isitoshe, ikiwa bank imefilisika, wateja hulipwa hela zao lakini sio zote kwani ni % kidogo tu inashikiliwa na shirika hilo kwahivyo kuna njia zingine mbadala hutumika kujaribu kufidia wateja.
3.Point yako ya tatu ni uharo na inaonyesha haujui jinsi central bank huendeshwa.
** natumai uzii huu utakusaidia hapo tanzagiza! Wakenya itabidi tuanze kulipisha hii elimu tunayoleta hapa jf.
2.