You said you have strong army, come and take him if at all the information is true.Wakenya mkuje huku mueleze kwanini mmemteka MO?
Kumbe sie tunahangaika kumtafuta nyie mmemficha, jamani hamuogopi kuwa mnaweza kujiharibia ujirani mwema?
For further information click the link below,
Kenya implicated in the abduction of MO
Wacha upuzi. Wapi evidence?Wakenya mkuje huku mueleze kwanini mmemteka MO?
Kumbe sie tunahangaika kumtafuta nyie mmemficha, jamani hamuogopi kuwa mnaweza kujiharibia ujirani mwema?
For further information click the link below,
Kenya implicated in the abduction of MO
Mkiwa hamchukulii security seriously nyang'au watawafanya mamboWakenya mkuje huku mueleze kwanini mmemteka MO?
Kumbe sie tunahangaika kumtafuta nyie mmemficha, jamani hamuogopi kuwa mnaweza kujiharibia ujirani mwema?
For further information click the link below,
Kenya implicated in the abduction of MO
Kenya tukitaka tunamteka mpaka magufuli na wadanganyika wote halafu tunadevelope Tanzania inakuwa middle income Country.Kama Wakenya wamemteka basi ni wapinzani wa biashara the likes of BIDCO n Brookside ama sugar barons!
Ungeanza kujiteka mwenyewe then ukaji develop ukawa na uchumi wa katiKenya tukitaka tunamteka mpaka magufuli na wadanganyika wote halafu tunadevelope Tanzania inakuwa middle income Country.
kule bongo jamaa ni trilionea...duh!Asante kwa taarifa, nitasaidia kumsaka kama yupo Kenya maana hilo dau la bilioni moja japo pesa madafu ya Tanzania ni nyingi sana, ila nikimpata mtajua vipi ni mimi nimehusika kwenye upatikanaji wake au nitatolewa nje nje na kutapeliwa.
Halafu jinsi Tanzania ilivyo na wachawi wengi na warogi mnashindwa kufanya matambiko yenu kwa dau lote hilo la bilioni moja, mnaishia matamko, mara mkuu wa mkoa anasema amepatikana, mara Kenya imemteka mara hiki mara kile.
Mumetuchafulia mazingira kwa kujaza mabango kama hili hapa chini lakini wenyewe hamjigangi
View attachment 903146
Tunawateka na kuwanjanjarusha muache ujinga wa ldc na vibakuli mnavyobebea kila siku mkiongozwa na Magoofool ili muache kuwa omba omba kupe kazi kufyonza wengine.Ungeanza kujiteka mwenyewe then ukaji develop ukawa na uchumi wa kati
Haha ni kweli.kule bongo jamaa ni trilionea...duh!View attachment 903202View attachment 903202
Nyie ndo ombaomba hadi china anawadai zaida ya mabwana zenu wa zamani.Tunawateka na kuwanjanjarusha muache ujinga wa ldc na vibakuli mnavyobebea kila siku mkiongozwa na Magoofool ili muache kuwa omba omba kupe kazi kufyonza wengine.
1.ushawahi sikia tumeshindwa kulipa deni?Nyie ndo ombaomba hadi china anawadai zaida ya mabwana zenu wa zamani.
Kila siku mnabadilisha bwana mara marekani mara Britain saizi nasikia mko na uchina