Serikali ya Kenya yaihujumu Tanzania kwa kumteka MO

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
10,771
Reaction score
14,129
Wakenya mkuje huku mueleze kwanini mmemteka MO?
Kumbe sie tunahangaika kumtafuta nyie mmemficha, jamani hamuogopi kuwa mnaweza kujiharibia ujirani mwema?
For further information click the link below,

Kenya implicated in the abduction of MO
 
Sasa link ya nini? Si ungeweja habari yote hapa
 
Wakenya mkuje huku mueleze kwanini mmemteka MO?
Kumbe sie tunahangaika kumtafuta nyie mmemficha, jamani hamuogopi kuwa mnaweza kujiharibia ujirani mwema?
For further information click the link below,

Kenya implicated in the abduction of MO
You said you have strong army, come and take him if at all the information is true.
 
Asante kwa taarifa, nitasaidia kumsaka kama yupo Kenya maana hilo dau la bilioni moja japo pesa madafu ya Tanzania ni nyingi sana, ila nikimpata mtajua vipi ni mimi nimehusika kwenye upatikanaji wake au nitatolewa nje nje na kutapeliwa.
Halafu jinsi Tanzania ilivyo na wachawi wengi na warogi mnashindwa kufanya matambiko yenu kwa dau lote hilo la bilioni moja, mnaishia matamko, mara mkuu wa mkoa anasema amepatikana, mara Kenya imemteka mara hiki mara kile.

Mumetuchafulia mazingira kwa kujaza mabango kama hili hapa chini lakini wenyewe hamjigangi

20160428_090134.jpg
 
Habari za kujitungia na blog uchawara hatutaki humu! Ccm wanajua alipo mo, si ni juzi tu tulimskia jiwe akiwatishia matajiri tz kuwa atawafanya chochote atakacho yeye!
 
Kama Wakenya wamemteka basi ni wapinzani wa biashara the likes of BIDCO n Brookside ama sugar barons!
 
Asante kwa taarifa, nitasaidia kumsaka kama yupo Kenya maana hilo dau la bilioni moja japo pesa madafu ya Tanzania ni nyingi sana, ila nikimpata mtajua vipi ni mimi nimehusika kwenye upatikanaji wake au nitatolewa nje nje na kutapeliwa.
Halafu jinsi Tanzania ilivyo na wachawi wengi na warogi mnashindwa kufanya matambiko yenu kwa dau lote hilo la bilioni moja, mnaishia matamko, mara mkuu wa mkoa anasema amepatikana, mara Kenya imemteka mara hiki mara kile.

Mumetuchafulia mazingira kwa kujaza mabango kama hili hapa chini lakini wenyewe hamjigangi

View attachment 903146
kule bongo jamaa ni trilionea...duh!
1539943094140.png
1539943094140.png
 
Ungeanza kujiteka mwenyewe then ukaji develop ukawa na uchumi wa kati
Tunawateka na kuwanjanjarusha muache ujinga wa ldc na vibakuli mnavyobebea kila siku mkiongozwa na Magoofool ili muache kuwa omba omba kupe kazi kufyonza wengine.
 
Maajabu haya. Watekaji na mtekwa walipita wapi ili wafike Kenya. Don't you have tight security? How about nyumba kumi
 
Tunawateka na kuwanjanjarusha muache ujinga wa ldc na vibakuli mnavyobebea kila siku mkiongozwa na Magoofool ili muache kuwa omba omba kupe kazi kufyonza wengine.
Nyie ndo ombaomba hadi china anawadai zaida ya mabwana zenu wa zamani.

Kila siku mnabadilisha bwana mara marekani mara Britain saizi nasikia mko na uchina
 
1.ushawahi sikia tumeshindwa kulipa deni?
2. Ushawahi sikia Tz imeshindwa kulipa deni hadi kusamehewa tena mara mbili?
 
Back
Top Bottom