ruto must go!Wakuu,
Mambo yameendelea kuwa sukari wenye hili sakata la Tanzania na Kenya. Yaani inaonekana kuwa Serikali ya Kenya ime-align na serikali ya Tanzania kwenye hili suala la CHADEMA na Martha Karua.
Yaani hizi serikali za kiafrika zinafanana wakuu!
===============================================
Msemaji wa serikali ya Kenya Isaac Mwaura amesema Tanzania imetenda kwa mujibu wa haki yake ya uhuru kwa kuwazuia watu kadhaa wa kisiasa na wanaharakati wa Kenya, wakiongozwa na Martha Karua na kwamba Kenya haikuwa na jukumu katika uamuzi huo.
Mwaura ameyasema hayo leo wakati akijibu kuhusu hatua ya kiongozi wa Chama cha Ukombozi wa Watu, Martha Karua, aliyekuwa Jaji Mkuu Willy Mutunga, na wanaharakati wengine wanne kuzuiwa kuingia Tanzania juzi.
Inaelezwa kuwa Mather na wenzake walitaka kuingia nchini kwa lengo la kwenda kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu ambayo inaendelea kusikilizwa kwatika mahakama ya kisutu mkoani Dar es Salaam.
“Ikiwa serikali ya moja ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki itaamua kumkataa mtu binafsi kuingia nchini mwao, ina mamlaka ya kufanya hivyo,” Mwaura amesema.
Amesisitiza kuwa serikali ya Kenya inaheshimu uhuru wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na haiingilii maamuzi yao ya ndani.
“Ikiwa wameamua hivyo, huo ni uamuzi wao. Hatujui kwa nini watamzuia mtu, na serikali ya Kenya haihusiki,” amesema.
Source: Citizen Digital
No that is Diplomacy, kasema hivyo haina maana kafurahi, na haina maana hawatalipizaruto must go!
Wasikilize waumevzao kwanza huko makwao kabla ya kuja kutuletea uchok*** wao Huku.Wageni kuja kusikiliza kesi ya Jemadari Tundu Lissu lini kumekuwa ni jinai.
MAYBE BUT KAMA KARUA NI MPINZANI WA RUTO, WAKO NA SAMIANo that is Diplomacy, kasema hivyo haina maana kafurahi, na haina maana hawatalipiza
martha na musyoka wameachwa kando hali ya kuwa raila anakula mema ya nchi na ndiyo maana moses wetangula alishtuka mapema akaunga juhudi za hustler na sasa ni spika.Martha Karua ana deal na denial ya usaliti wa BABA. Aliachwa kwenye mataa huku BABA anakula sinia moja na Ruto.
Huu ndio ukweliWakuu,
Mambo yameendelea kuwa sukari kwenye hili sakata la Tanzania na Kenya. Yaani inaonekana kuwa Serikali ya Kenya ime-align na serikali ya Tanzania kwenye hili suala la CHADEMA na Martha Karua.
Yaani hizi serikali za kiafrika zinafanana wakuu!
===============================================
Msemaji wa serikali ya Kenya Isaac Mwaura amesema Tanzania imetenda kwa mujibu wa haki yake ya uhuru kwa kuwazuia watu kadhaa wa kisiasa na wanaharakati wa Kenya, wakiongozwa na Martha Karua na kwamba Kenya haikuwa na jukumu katika uamuzi huo.
Mwaura ameyasema hayo leo wakati akijibu kuhusu hatua ya kiongozi wa Chama cha Ukombozi wa Watu, Martha Karua, aliyekuwa Jaji Mkuu Willy Mutunga, na wanaharakati wengine wanne kuzuiwa kuingia Tanzania juzi.
Inaelezwa kuwa Mather na wenzake walitaka kuingia nchini kwa lengo la kwenda kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu ambayo inaendelea kusikilizwa kwatika mahakama ya kisutu mkoani Dar es Salaam.
“Ikiwa serikali ya moja ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki itaamua kumkataa mtu binafsi kuingia nchini mwao, ina mamlaka ya kufanya hivyo,” Mwaura amesema.
Amesisitiza kuwa serikali ya Kenya inaheshimu uhuru wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na haiingilii maamuzi yao ya ndani.
“Ikiwa wameamua hivyo, huo ni uamuzi wao. Hatujui kwa nini watamzuia mtu, na serikali ya Kenya haihusiki,” amesema.
Source: Citizen Digital
Kibibi cha miaka 67,badala ya kulea wajukuu kwao Kenya,kinazurura ovyoShida yao moja wasemaji wakenya sio wakweli.
Jana na leo maelfu ya watanzania na wakenya wamevuka mipaka bila ya shida yeyote.
Martha Karua na kigenge chake cha wahuni wanaenda nchi za watu kuingilia domestic politics ambazo haziwahusu.
Hiyo ndio shida wamejiteua court observers sijui kwa sheria gani ya jumuiya au makubaliano.
Wakifika nchi za watu wanaita media na kutoa political opinion kwa siasa za nchi ambazo hawana haki ya ku-participate katika hizo ardhi.
Wamuite huyo mama kwa jina sahihi, ni mkorofi sio kumun’gunya maneno sijui nchi ina haki ya kuzuia mtu out of the blue. Huyo mama anaongoza kigenge cha troublemaker ndio maana kazuiwa.