Serikali ya Kenya yakabidhi rambirambi ya MV. Nyerere

Serikali ya Kenya yakabidhi rambirambi ya MV. Nyerere

KCB Bank imetoa hela ilizotengeneza humo humo tu bongo....hii ni njia ya kuuma na kupuliza na kubembeleza...kenyans are very cunning...
 
KCB Bank imetoa hela ilizotengeneza humo humo tu bongo....hii ndio inaitwa kuuma na kupuliza na kubembeleza..wanambembeleza anko magu asije akaamua siku moja anapiga marufuku mabenki yote toka Kenya😀😀si unamjua tu...wakenya huwa hawafanyi vitu bila sababu...
 
Unfiki wa hali ya juu! JPM pokea ila 25% tax Kwa dairy products inabaki palepale. Hawajalazimishwa kutoa mchango!
 
Unfiki wa hali ya juu! JPM pokea ila 25% tax Kwa dairy products inabaki palepale. Hawajalazimishwa kutoa mchango!
hela hizo zimetoka tu hapo tz by the way🙄🙄...KCB Bank tanzania branch😀😀😀apana cheza na nyang'au...mnaona mmesaidiwa kumbe mnaliwa
 
Pamoja na yote yanayotendwa na Bongolala, tutazidi kudumisha upendo kwa Tanzania. Hatutachoka kuwapenda. Poleni sana watani wetu.
Screenshot_2018-10-09 Amb Hon Dan Kazungu, EGH, EnP ( DanMKazungu) Twitter(2).png
Screenshot_2018-10-09 Amb Hon Dan Kazungu, EGH, EnP ( DanMKazungu) Twitter(1).png
Screenshot_2018-10-09 Amb Hon Dan Kazungu, EGH, EnP ( DanMKazungu) Twitter.png
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Unfiki wa hali ya juu! JPM pokea ila 25% tax Kwa dairy products inabaki palepale. Hawajalazimishwa kutoa mchango!
Its 1000%, kwenye ndege ililuwa hivi hivi now milk, you see someone is starting to run. This time hakuna kuchekeana.
 
Tumia akili mama, rambirambi sio msaada ila ni mkono wa Pole.
Na mbona mnaongea vibaya? Eti Uhuru anajipendekeza?
Nadhani mmejifunza mengi. Si vizuri kucheka mwenzako anapokumbwa na matatizo. Mliwacheka wakenya waliokufa maji baada ya bwawa kukata. Hayo hayo maji ndiyo yaliyowaua wenzenu.
ACHEKAYE KILEMA KWAO KUNACHO
 
October 8, 2018
Dar es Salaam, Tanzania

Serikali ya Kenya kupitia kwa balozi wake nchini Tanzania, Bw. Dan Kazungu imemkabidhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli shilingi milioni 125/- (Kshs. Milioni 5.5) zikiwa ni rambirambi kutokana na ajali ya kivuko cha Mv Nyerere iliyoua zaidi ya watu 200 kwenye Ziwa Viktoria.

Balozi Dan Kazungu amesema wananchi wa Kenya wapo pamoja na ndugu zao wa-Tanzania ktk kuomboleza mkasa huu wa ajali mbaya ya chombo cha majini /ferry.

October 8, 2018
Dar-es-Salaam, Tanzania
By Amb. Hon Dan Kazungu:
This morning, I was honoured to lead the team at the Kenya High Commission, Dar to visit HE President @MagufuliJP of Tanzania to present the Govt of Kenya support for the victims of the recent MV Nyerere Ferry disaster on Lake Victoria where over 200 Tanzanians lost their lives.

The Govt of Kenya led by HE President
@UKenyatta through CS @ForeignOfficeKE
had pledged Kshs 5.5 Million (Tshs 125 Million) to go towards support of the survivors of the tragedy, upgrading the local Health Centre & construction of a Memorial Centre in remembrance of the victims.
Amb. Hon Dan Kazungu, EGH, EnP (@DanMKazungu) on Twitter



Asanteni sana Shemeji zangu, naoa huko karibuni!
 
Hongera ila serikali yetu inafaa kuwa inafanya uchunguzi kwanza kabla ya kutumia hela zetu za kodi kwa mambo kama haya.
Wapitie kwenye mitandao waone jinsi Watanzania wamelalamika kuhusu pesa walizochangia kwenye huu mkasa hazikuwafikia wahanga, kuna wanaosema zinatumika kununua wabunge wa upinzani, halafu kiherehere chetu tumezipeleka ikulu kabisa......hehehe

Wajiulize kwanini majirani wa Tanzania wote akina Kagame, Museveni, NkuruziWhetever, n.k wote walikausha...
 
Yaani hili jukwaa limekuwa la kipuuzi sana, hata rambirambi pia ni kitu cha kuponda? Leo kwako kesho kwangu bana, sio kila siku ligi. Undugu ni kufaana.
 
Hongera ila serikali yetu inafaa kuwa inafanya uchunguzi kwanza kabla ya kutumia hela zetu za kodi kwa mambo kama haya.
Wapitie kwenye mitandao waone jinsi Watanzania wamelalamika kuhusu pesa walizochangia kwenye huu mkasa hazikuwafikia wahanga, kuna wanaosema zinatumika kununua wabunge wa upinzani, halafu kiherehere chetu tumezipeleka ikulu kabisa......hehehe

Wajiulize kwanini majirani wa Tanzania wote akina Kagame, Museveni, NkuruziWhetever, n.k wote
Haijalishi jombaa, huwezi mpangia mtu msibani, ukishapeana rambirambi zako kwa jirani sio jambo la busara kuanza kufatilia fatilia. Kesho yake ukimuona amenunua gari jipya inabidi ukaushe tu.
 
Haijalishi jombaa, huwezi mpangia mtu msibani, ukishapeana rambirambi zako kwa jirani sio jambo la busara kuanza kufatilia fatilia. Kesho yake ukimuona amenunua gari mpya inabidi ukaushe tu.

La bro, hizi ni hela za walipa kodi, kama zingekua za rais Uhuru mwenyewe kutoka kwa mshahara wake ningemuelewa, lakini ni zetu hizi. Watanzania wapo wanalalamika kwenye mitandao jinsi hela za rambirambi zinawanunua wabunge na madiwani wa upinzani, sasa sisi na kimbelembele chetu tumepeleka ikulu penyewe, bora basi tungewanunulia vitu moja kwa moja kama tulivyofanya kwenye mkasa wa Kagera.
 
Nauliza shemeji anaendelea vipi? Pilau tunakula lini? Wacha kuwa mwoga jibu swali babaa

Yule mrembo wake ni dadako sio shemeji wako, huyo Bararosa ndiye shemeji sasa, japo sijui kama kafuata mila na desturi, katoa mahari au anafaidi dada yetu bure, na kama hajatoa basi aweke ratiba tujue lini tutakwenda kupokea kule Ukikuyuni.
 
Back
Top Bottom