Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Asante. Samahani kiswahili kinanitatiza kidogo. Huyo hatuwezi kubali aponyoke na dada yetu bila kutoa ng'ombe kadhaa. Ndio maana hataki kuzungumzia hili jambo. Lakini kila la kheri kwao.Yule mrembo wake ni dadako sio shemeji wako, huyo Bararosa ndiye shemeji sasa, japo sijui kama kafuata mila na desturi, katoa mahari au anafaidi dada yetu bure, na kama hajatoa basi aweke ratiba tujue lini tutakwenda kupokea kule Ukikuyuni.