hela hizo zimetoka tu hapo tz by the way🙄🙄...KCB Bank tanzania branch😀😀😀apana cheza na nyang'au...mnaona mmesaidiwa kumbe mnaliwaUnfiki wa hali ya juu! JPM pokea ila 25% tax Kwa dairy products inabaki palepale. Hawajalazimishwa kutoa mchango!
Kenyans mock Uhuru after receiving food donations from this desert countryHow can a donor country receive donations from kibera which you always snub here? I thought you have everything. Kenya ndio kusema hapa E.A Mpende msipende
Sisi hatufichi lolote. Mbona nyie mnabisha kila siku kwamba kwenu hamna mafukara? Mbona mkazipokea hizo hela?si nyie ni matajiri?
Its 1000%, kwenye ndege ililuwa hivi hivi now milk, you see someone is starting to run. This time hakuna kuchekeana.Unfiki wa hali ya juu! JPM pokea ila 25% tax Kwa dairy products inabaki palepale. Hawajalazimishwa kutoa mchango!
Tumia akili mama, rambirambi sio msaada ila ni mkono wa Pole.Sisi hatufichi lolote. Mbona nyie mnabisha kila siku kwamba kwenu hamna mafukara? Mbona mkazipokea hizo hela?si nyie ni matajiri?
Japan earthquake: Aid flows in from across the world | Liz Ford and Claire ProvostSisi hatufichi lolote. Mbona nyie mnabisha kila siku kwamba kwenu hamna mafukara? Mbona mkazipokea hizo hela?si nyie ni matajiri?
Na mbona mnaongea vibaya? Eti Uhuru anajipendekeza?Tumia akili mama, rambirambi sio msaada ila ni mkono wa Pole.
October 8, 2018
Dar es Salaam, Tanzania
Serikali ya Kenya kupitia kwa balozi wake nchini Tanzania, Bw. Dan Kazungu imemkabidhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli shilingi milioni 125/- (Kshs. Milioni 5.5) zikiwa ni rambirambi kutokana na ajali ya kivuko cha Mv Nyerere iliyoua zaidi ya watu 200 kwenye Ziwa Viktoria.
Balozi Dan Kazungu amesema wananchi wa Kenya wapo pamoja na ndugu zao wa-Tanzania ktk kuomboleza mkasa huu wa ajali mbaya ya chombo cha majini /ferry.
October 8, 2018
Dar-es-Salaam, Tanzania
By Amb. Hon Dan Kazungu:
This morning, I was honoured to lead the team at the Kenya High Commission, Dar to visit HE President @MagufuliJP of Tanzania to present the Govt of Kenya support for the victims of the recent MV Nyerere Ferry disaster on Lake Victoria where over 200 Tanzanians lost their lives.
The Govt of Kenya led by HE President
@UKenyatta through CS @ForeignOfficeKE
had pledged Kshs 5.5 Million (Tshs 125 Million) to go towards support of the survivors of the tragedy, upgrading the local Health Centre & construction of a Memorial Centre in remembrance of the victims.
Amb. Hon Dan Kazungu, EGH, EnP (@DanMKazungu) on Twitter
Haijalishi jombaa, huwezi mpangia mtu msibani, ukishapeana rambirambi zako kwa jirani sio jambo la busara kuanza kufatilia fatilia. Kesho yake ukimuona amenunua gari jipya inabidi ukaushe tu.Hongera ila serikali yetu inafaa kuwa inafanya uchunguzi kwanza kabla ya kutumia hela zetu za kodi kwa mambo kama haya.
Wapitie kwenye mitandao waone jinsi Watanzania wamelalamika kuhusu pesa walizochangia kwenye huu mkasa hazikuwafikia wahanga, kuna wanaosema zinatumika kununua wabunge wa upinzani, halafu kiherehere chetu tumezipeleka ikulu kabisa......hehehe
Wajiulize kwanini majirani wa Tanzania wote akina Kagame, Museveni, NkuruziWhetever, n.k wote
Haijalishi jombaa, huwezi mpangia mtu msibani, ukishapeana rambirambi zako kwa jirani sio jambo la busara kuanza kufatilia fatilia. Kesho yake ukimuona amenunua gari mpya inabidi ukaushe tu.
Nauliza shemeji anaendelea vipi? Pilau tunakula lini? Wacha kuwa mwoga jibu swali babaaAsanteni sana Shemeji zangu, naoa huko karibuni!
Nauliza shemeji anaendelea vipi? Pilau tunakula lini? Wacha kuwa mwoga jibu swali babaa