Serikali ya Kenya yakabidhi rambirambi ya MV. Nyerere

Yule mrembo wake ni dadako sio shemeji wako, huyo Bararosa ndiye shemeji sasa, japo sijui kama kafuata mila na desturi, katoa mahari au anafaidi dada yetu bure, na kama hajatoa basi aweke ratiba tujue lini tutakwenda kupokea kule Ukikuyuni.
Asante. Samahani kiswahili kinanitatiza kidogo. Huyo hatuwezi kubali aponyoke na dada yetu bila kutoa ng'ombe kadhaa. Ndio maana hataki kuzungumzia hili jambo. Lakini kila la kheri kwao.
 
Mimi sio kwamba ninapinga Kenya kutoa mkono wa rambirambi kwa Tanzania, ila ninahisi kwamba Kenya inajishusha sana kwa Tanzania, kwasababu Tanzania haijawahi kurudisha mkono wa pole kwa Kenya na bado kuna mambo mengi Kenya inaishutumu TZ kwamba inahujumu Kenya.

Kumbuka Kenya imekua ikiomba South Africa iondoe visa kwa wakenya Kama ambavyo Kenya imeondoa visa kwa raia wa South Africa lakini ombi hilo limekataliwa, mtu akisema Kenya inajikomba kwa South Africa atakua amekosea?
 
How can a donor country receive donations from kibera which you always snub here? I thought you have everything. Kenya ndio kusema hapa E.A Mpende msipende
Hata USA hupokea rambirambi..muwe mnajielimisha kabla ya kuropoka!!!
Sijawahi kuona mganda mpuuzi kama wewe,aisee wakenya wamekuharibu sana!
 
Hata USA hupokea rambirambi..muwe mnajielimisha kabla ya kuropoka!!!
Sijawahi kuona mganda mpuuzi kama wewe,aisee wakenya wamekuharibu sana!
Be humble then. Stop insulting U.K. M7 na kagame walipeana ngapi hivi?
 
Mmh.zitafika kweli?[emoji52][emoji52][emoji52][emoji52]
 
You are a nobody to order me around. I write whatever I want to write the way I want.
Nakuuliza museveni na kagame walitoa pesa ngapi za rambirambi?
kwanza lazima ujue rambirambi hazilazimishwi kutoa,ikiwa mtu katoa,ni sawa!..na ikiwa kuna mtu hajatoa,pia ni sawa!!!..wao walitoa salamu za pole za rambirambi!
 
Reactions: Oii
Dah ! Kama kawaida yenu upuuzi tu , yaani thread inaongelea misaada nyie mmeshaingiza bifu zenu za kipumbavu hivi nani kawaroga nyie , why everything has to be Kenya vs Tanzania ? Why ? , si Kuna ule uzi wenu wa mabishano ? Kwanini msiende kubishania huko .........Bloody fools !
 
Reactions: Oii
kwanza lazima ujue rambirambi hazilazimishwi kutoa,ikiwa mtu katoa,ni sawa!..na ikiwa kuna mtu hajatoa,pia ni sawa!!!..wao walitoa salamu za pole za rambirambi!
Kwa hivyo acheni matusi. Yaani mtu anajinyima na kujitolea kusaidia mwingine halafu yule anayesaidiwa hata hana shukrani.
tenda wema nenda zako.
Ahsante rais mtukufu wa taifa la Kenya kwa kuyajali maslahi ya wengine.
Mungu azidi kuibariki nchi ya Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…