MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Serikali imesema huo sio msimamo wake na kwamba kila mgeni amekaribishwa nchini kufanya shughuli zake kihalali, pia imelaani tamko la huyo mbunge aliyeishiwa sera, ambaye naye ameomba msamaha kweye Twitter na kusema tamko lake lilikusudiwa Wachina wanaofanya kazi za umachinga mitaani.
Hivyo makelele yapungue, watu wanaolialia kuhusu hili wafahamu sio msimamo wa serikali, wala Wakenya, sisi Wakenya huwa hatuogopi ushindani kutoka kwa wageni maana wenyewe tunajiamini na wengi wetu ndio tunaogopwa kwenye baadhi y mataifa kwa jinsi huwa tunajituma, ambapo baadhi ya majirani wamebuni sera dhidi ya Wakenya japo kimya kimya kisa ushindani wetu.
Jaguar anafaa aite wanahabari na kutengua hii kauli, sio nzuri nakumbuka kuna kipindi Watanzania walifurushwa Msumbiji na kunyang'anywa mali yao, bila ya serikali yao kufanya chochote
www.bbc.com
------------------------
The Government has now moved to reassure foreign investors in the country of their security and that of their properties following a viral video of a Kenyan legislator threatening to forcefully remove them from Kenya.
Starehe Member of Parliament Charles ‘Jaguar’ Kanyi, in a video that has since gone viral, was heard telling foreigners engaged in business in his constituency to shut down and vacate the country failure to which they will be forcefully removed.
However, in a statement to newsrooms Tuesday evening, the Government denounced the MPs remarks adding that mitigating measures have since been instituted against them.
“We wish to state that this is not the position of the Government of the Republic of Kenya, and we denounce the comments carried in the video in the strongest terms possible,” read the statement from Government Spokesperson Cyrus Oguna.
“Such comments are unfortunate and have no place in today’s globalized environment. Kenyans are peace loving people who have over the years coexisted with others of different nationalities.”
MP Jaguar, in the video, was heard issuing Interior Cabinet Secretary Fred Matiang’i with a 24-hour ultimatum to deport all Chinese nationals and other foreigners carrying out businesses in Gikomba area.

Watanzania 132 wafurushwa nchini Msumbiji - BBC News Swahili
Kulingana na serikali ya Msumbiji operesheni hiyo inalenga kuwatimua raia wa kigeni wanaoishi nchini humo kinyume na sheria.