Tetesi: Serikali ya Kenya yawafidia wafugaji walioporwa mifugo yao na serikali ya Tanzania .

Tetesi: Serikali ya Kenya yawafidia wafugaji walioporwa mifugo yao na serikali ya Tanzania .

Hela za sisi matajiri wafanyabiashara tuliofanikiwa ndio zinazoendesha serikali ya Tanzania
hahaha wewe bure kabisa eti hela za nyie mliofanikiwa huwez kufanikiwa bila kufanya kazi na maskini wa hali ya chini kila kitu lazima watu wa chini wa husike na ndio unaowauzia hizo bidhaa zako na ndio wanaokupa jeuri ya kulipa kodi acha kujifanya kama sio mjinga
 
Itapendeza zaidi kama hao wanasiasa waliohodhi ardhi huko Kenya wangewapatia hao wafugaji otherwise hizi Ni hekaya za Abunuas Tu.
 
Back
Top Bottom