Tetesi: Serikali ya Kenya yawafidia wafugaji walioporwa mifugo yao na serikali ya Tanzania .

Tetesi: Serikali ya Kenya yawafidia wafugaji walioporwa mifugo yao na serikali ya Tanzania .

Eti ng'ombe wa gavana sharobaro Mike Sonko ndo walikamatwa? Mike Sonko si mmaasai wala sidhani hata awe ni mkulima atawalisha ng'ombe wa kuhamahama. Watz na habari za uongo na kitoto ni kama tu nane na tisa zinaandamana pua kwa mkia.
 
Eti ng'ombe wa gavana sharobaro Mike Sonko ndo walikamatwa? Mike Sonko si mmaasai wala sidhani hata awe ni mkulima atawalisha ng'ombe wa kuhamahama. Watz na habari za uongo na kitoto ni kama tu nane na tisa zinaandamana pua kwa mkia.
Zile ng'ombe serikali yenu yenye utu ilizozipiga risasi itazifidia lini?
 
Usilolijua ni kama usiku wa giza wafugaji wa Kenya mifugo yao inakufa kwa ukame kwa maelfu na ushahidi upo serikali ya Kenya haijawahi wafidia!!!! Wanajifidia wanasiasa wamiliki hizo ngombe hujiulizi swali dogo tu kwa nini mumiliki wa vifaranga mkenya vilivyopigwa moto Tanzania mbona hawajamfidia huyo mkenya mwenzao aliyemuuzia mtanzania? jibu huyo Muuza vifaranga mkenya sio mwanasiasa kule Kenya
Tumia akili kidogo basi...
 
42f6520f99ae72c5a481cd1b24cfc6b5.jpg
 
Nani aliemuanza mwenzake???
Mbona mnaangalia upande mmoja???
Hadi serikali kisema mifugo yetu iwekewe alama je mnalifahamu hilo???
Acheni uchochezi wakitoto
Akimwaga ugali tutamwaga mboga,,,
Tena wasitujaribu waendelee kupambana na machafuko yao
Sisi tunakula na kustarehhh kwa amani nchini kwetu
 
Unafiki tu, nilikuwa naangalia K24 nikaona wafugaji wanalalamika kwamba baadhi ya askari na wakulima ndani ya kenya wamewauwa ng'ombe wao, hivyo walikuwa wanaomba serikali iingilie kati. Naomba kuuliza Je na hao wamefidiwa? au la?
 
Kuna klip kikwete alizungumzia hili jambo alipoenda kuaga bunge la Kenya
 
Kuna kitu kinaitwa *ujirani mwema*
If you need equity do equity ni majuzi tuu walikwenda mitaani na kuwakamata omba omba na kuwaweka korokoroni yap! ni sheria zao mbaya zaidi walisingizia ni Wabungo hakuna ushahidi kama ni kweli hawakujua kuna huo ujirani mwema? hapa ni mbyai mbyai tuu?
 
Tanzania huijui watanzania wengi hawajali kuwa una pesa au bilionea Ndio maana uchaguzi uliopita walimpa uraisi magufuli wangekuwa wanajali nani ana pesa na wangempa Lowasa kuwa Raisi .Money is not everything in Tanzania take note when you deal with Tanzania.Many Tanzanians motivation factor is not money or richness like in Kenya

I seconded.
Tanzania tumejengwa katika misingi ya UTU na si VITU.
ndiyo maana wengi huku kwetu wanajiita masikini jeuri. huwezi kumnyanyasa kwa sababu eti una hela.
 
Back
Top Bottom