Tetesi: Serikali ya Kenya yawafidia wafugaji walioporwa mifugo yao na serikali ya Tanzania .

Tetesi: Serikali ya Kenya yawafidia wafugaji walioporwa mifugo yao na serikali ya Tanzania .

Hakununua alikopa
Mkuu sasa ukipata kitu kwa mkopo ndio unakuwa hujanunua? Alinunua ila ni kwa mkopo na anatakiwa alipe hilo swala la kuunguziwa vifaranga linamhusu mtanzania na anatakiwa alipe deni la watu kule alipokopa(samahani kukuuliza hili swali mkuu ulishawahi kufanya biashara?)
 
Sahau kabisa fukara Tanzania kupambana na kibopa Kenya , mtaumia vibaya sana !
Nenda Somalia ukaone alshabab matako yako nje nguo hawana wanalala uchi kwa umaskini lakini uone wanavyosumbua wakenya na walivyofanya wakenya wakose usingizi si kila MTU yuko interested na pesa na utajiri uelewe hilo waweza kuwa tajiri na ukahama nyumba na mtaa kwa kusumbuliwa na panya road maskini wa kutupwa ambao hata pa kulala hawana
 
Kilichobaki sasa ni serikali ya Kenya kufanya mikikati ya kulipiza pesa ilizozipoteza, hakuna cha bure bana. Watz mtaelewa vizuri tu karata za kikenya hivi karibuni.
 
Kilichobaki sasa ni serikali ya Kenya kufanya mikikati ya kulipiza pesa ilizozipoteza, hakuna cha bure bana. Watz mtaelewa vizuri tu karata za kikenya hivi karibuni.
Ruksa ruksa ruksa na kitajibiwa accordingly.No fear here in Tanzania
 
Ngombe hizo zilizoshikwa mmojawapo wa wamiliki ni gavana wa kajiado fisadi Mike Ole sonko
Fala wewe hakuna mtu anaeitwa mike ole sonko mwehu wewe hujui ulinenalo.hakuna unachojua zaidi ya vipropaganda vyako mfu.

gavana wa nairobi anaitwa mike sonko.

gavana wa kajiado ni josephu ole lenku chizi wewe na takataka yako ccm.
 
Ngombe hizo zilizoshikwa mmojawapo wa wamiliki ni gavana wa kajiado fisadi Mike Ole sonko

Hivi Sonko kawa lini Gavana wa Kajiado? Lumumbaz kwa mkurupuko hamjambo. Joseph Ole Lenku ndie Gavana, we kiazi wa lumumba! Lakini hatushangai maana Sadam Hussein ni rais wa Algeria!![emoji35]
 
Fala wewe hakuna mtu anaeitwa mike ole sonko mwehu wewe hujui ulinenalo.hakuna unachojua zaidi ya vipropaganda vyako mfu.

gavana wa nairobi anaitwa mike sonko.

gavana wa kajiado ni josephu ole lenku chizi wewe na takataka yako ccm.
Asante kunisahihisha nimerekebisha hizi ngombe zilizoshikwa zinamililikiwa na huyo gavana wa nairobi Mike sonko na huyo wa kajiado josephat Ole lenku na ndio nikasema kuna wanasiasa wakenya wamiliki hizo ngombe
 
Watanzania hebu tuelewe kuna vitu tunaweza kuongea na kufanya ikiwa vinaleta maumivu kwetu hivi mnajua au mnauchungu na wakulima waliokuwa wanavamiwa na kuuwawa kiteto na mvomero na pia huwa mnajiuliza huko kagera wafugaji wa ng'ombe ni asilimia ndogo sana ya watanzania wengi ni rwanda na uganda hv unamtofautishaje masai wa mvomero na masai wa kenya kama ndgu mliozaliwa na baba mmoja mama tofauti hamjaliani sembuse kenya huo undugu mnautoa wapi tulinde kilicho chetu kwa manufaa ya kizazi chetu na kijacho hebu acheni hayo mambo hebu jaribuni kubeba msalaba wa wakulima waliopatwa na maswahibu hayo ya kuuwawa na jamii ya wafugaji na huenda siyo watanzania hv mnajiskiaje
 
Mmmmmm hiyo mifugo ilikuwa yake au ya familia za wanasiasa wa Kenya? Yule alikuwa mchunga ngombe tu .Kichwa cha habari kisomeke wanasiasa wa Kenya wamiliki ngombe zilizoshikwa Tanzania wawaibia wakenya kodi zao na wajilipa fidia ya ngombe zao walizokuwa wakilisha Tanzania kinyume cha sheria
.....Vijana wanakamsemo....inachooomaaa kama pasi!! hahaaaaaa...
 
Kama wamasai wa TZ na Wa KNY wanaundugu kiasi hicho basi hata wangoni nao wawe free kwenda SA maana kule nao si kuna ndgu zao pia wamakonde nao hvyo hvyo ili ss wagogo mtuachie tanzania yetu
 
Watanzania hebu tuelewe kuna vitu tunaweza kuongea na kufanya ikiwa vinaleta maumivu kwetu hivi mnajua au mnauchungu na wakulima waliokuwa wanavamiwa na kuuwawa kiteto na mvomero na pia huwa mnajiuliza huko kagera wafugaji wa ng'ombe ni asilimia ndogo sana ya watanzania wengi ni rwanda na uganda hv unamtofautishaje masai wa mvomero na masai wa kenya kama ndgu mliozaliwa na baba mmoja mama tofauti hamjaliani sembuse kenya huo undugu mnautoa wapi tulinde kilicho chetu kwa manufaa ya kizazi chetu na kijacho hebu acheni hayo mambo hebu jaribuni kubeba msalaba wa wakulima waliopatwa na maswahibu hayo ya kuuwawa na jamii ya wafugaji na huenda siyo watanzania hv mnajiskiaje
Ni hawa nyumbu wachache, ni wa kuwapuuza.
 
Back
Top Bottom