hahaha wewe bure kabisa eti hela za nyie mliofanikiwa huwez kufanikiwa bila kufanya kazi na maskini wa hali ya chini kila kitu lazima watu wa chini wa husike na ndio unaowauzia hizo bidhaa zako na ndio wanaokupa jeuri ya kulipa kodi acha kujifanya kama sio mjinga