Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Serikali ya awamu ya nne chini ya Mh. Kikwete ilitumia fedha nyingi (billions of Tanzania shillings) kuchakata katiba mpya. Baadaye mchakato ulipopamba moto na kugusa maslahi binafsi ya wachache mchakato ukatupwa kapuni.
Pesa zikapotea, muda ukapote.
Ni wakati sasa serikali ile ya Kikwete ishitakiwe ieleze kiasi cha fedha kilichotumika, pia waeleze sababu ya kuutupilia mbali mchakato ule kinagaubaga.
Wakufungwa afungwe, wakuachiwa huru ataachiwa.
Hii tabia ya kuteketeza mabilioni ya fedha huku wanachi wengi ni mafukara haikubaliki.