Serikali ya Kikwete ishitakiwe kwa kupoteza pesa za umma kupitia mchakato wa Katiba mpya

Serikali ya Kikwete ishitakiwe kwa kupoteza pesa za umma kupitia mchakato wa Katiba mpya

Kumshtaki Kikwete wakati Rais wa sasa anamtegemea kwa masuala mengi akiwa ndio mstaafu pekee mwenye nguvu ya kimwili na kifikra ni kupoteza muda bure.

JK ana ushawishi mkubwa sasa kuliko wakati mwingine wa miaka ya nyuma.
Nawaona wafuasi wa Jiwe mkiwa kazini kutafuta legacy ya kulazimisha ya mwendazake
 
Kstiba mpya imebakiza stage moja tu,kupigiwa kura na wananchi,,msifikiri ilitupwa jalalani katiba ya chenge,,mchakata wa katiba mpya ukianza,tunaanzia tulipoishia na sio kwamba mchakato utaanza upya kabisa,,hili mlitie akilini...
 
Back
Top Bottom