Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Rais Kikwete aondolewe kinga ashitakiwe. Yeye kwa authority yake angeweza kufanikisha upatikanaji wa katiba mpya.Tatizo ni Ccm
Achana na jinga lile, ndiyo yale yalihusika kupiga pesa zetu za katiba mpyaAliyesema awamu ya nne ndio iliyowezesha kuingia uchumi wa kati anasemaje?
Kwa katiba hii ya 1977. Rais wa Tanzania ni Alfa na Omega . Kumbuka kisa cha mswaada wa Gas na Mafuta. Jamaa alikuwa Amebakiza miezi miwili tu ofisini. Lakini wabunge na spika wao Mama Makinda waliufyata pamoja na wapinzani kupiga mwano!Rais Kikwete aondolewe kinga ashitakiwe. Yeye kwa authority yake angeweza kufanikisha upatikanaji wa katiba mpya.
Alikubali vipi mabilioni yateketee bure?
Kwa jinsi mchakato ulivyokuwa umepangwa serikali ile iliukamiliza hatua zote ukabaki hatua ya kupiga kura wananchi kuikubali au kuikataa kabla ya hatua hiyo ndio mambo ya uchaguzi mkuu yakaingi, much as you have very good point lakini ukisema ushtaki hakutakuwa na substance ya ku hold hio kesi.Rais Kikwete aondolewe kinga ashitakiwe. Yeye kwa authority yake angeweza kufanikisha upatikanaji wa katiba mpya.
Alikubali vipi mabilioni yateketee bure?
wakati yeye ndo aliyeuharibu baada ya kuona maslahi yake yanahatarishwa.wakuu mmeisahau ile hotuba yake pale bunge ambayo ilibadisha kabisa hali ya hewa na kikao cha katiba kikavurugika.Rais Kikwete aondolewe kinga ashitakiwe. Yeye kwa authority yake angeweza kufanikisha upatikanaji wa katiba mpya.
Alikubali vipi mabilioni yateketee bure?
Aliyesema awamu ya nne ndio iliyowezesha kuingia uchumi wa kati anasemaje?
wakati yeye ndo aliyeuharibu baada ya kuona maslahi yake yanahatarishwa.wakuu mmeisahau ile hotuba yake pale bunge ambayo ilibadisha kabisa hali ya hewa na kikao cha katiba kikavurugika.
pumbavu zake yulee..!Yule jamaa aliyeanzisha ule uzi ni mjinga sana. Eti kikwete ndo katufikisha uchumi wa kati
watu walitajirika kupitia huo mchakatoSerikali ya awamu ya nne chini ya Mh. Kikwete ilitumia fedha nyingi (billions of Tanzania shillings) kuchakata katiba mpya. Baadaye mchakato ulipopamba moto na kugusa maslahi binafsi ya wachache mchakato ukatupwa kapuni.
Pesa zikapotea, muda ukapote.
Ni wakati sasa serikali ile ya Kikwete ishitakiwe ieleze kiasi cha fedha kilichotumika, pia waeleze sababu ya kuutupilia mbali mchakato ule kinagaubaga.
Wakufungwa afungwe, wakuachiwa huru ataachiwa.
Hii tabia ya kuteketeza mabilioni ya fedha huku wanachi wengi ni mafukara haikubaliki.
Sema ccm woote washitakiwe kwa ubakaji wa demokrasia na ubakaji wa mawazo ya katiba mpya.Serikali ya awamu ya nne chini ya Mh. Kikwete ilitumia fedha nyingi (billions of Tanzania shillings) kuchakata katiba mpya. Baadaye mchakato ulipopamba moto na kugusa maslahi binafsi ya wachache mchakato ukatupwa kapuni.
Pesa zikapotea, muda ukapote.
Ni wakati sasa serikali ile ya Kikwete ishitakiwe ieleze kiasi cha fedha kilichotumika, pia waeleze sababu ya kuutupilia mbali mchakato ule kinagaubaga.
Wakufungwa afungwe, wakuachiwa huru ataachiwa.
Hii tabia ya kuteketeza mabilioni ya fedha huku wanachi wengi ni mafukara haikubaliki.
Ufisadi chini ya awamu ya 5 ulitamalaki na kuweka rekodi tangu taifa lipate uhuru haijawahi kushuhudia ufisadi kama huoRais Kikwete aondolewe kinga ashitakiwe. Yeye kwa authority yake angeweza kufanikisha upatikanaji wa katiba mpya.
Alikubali vipi mabilioni yateketee bure?