Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Jun 21, 2021 #21 Phillipo Bukililo said: Kumshtaki Kikwete wakati Rais wa sasa anamtegemea kwa masuala mengi akiwa ndio mstaafu pekee mwenye nguvu ya kimwili na kifikra ni kupoteza muda bure. JK ana ushawishi mkubwa sasa kuliko wakati mwingine wa miaka ya nyuma. Click to expand... Nawaona wafuasi wa Jiwe mkiwa kazini kutafuta legacy ya kulazimisha ya mwendazake
Phillipo Bukililo said: Kumshtaki Kikwete wakati Rais wa sasa anamtegemea kwa masuala mengi akiwa ndio mstaafu pekee mwenye nguvu ya kimwili na kifikra ni kupoteza muda bure. JK ana ushawishi mkubwa sasa kuliko wakati mwingine wa miaka ya nyuma. Click to expand... Nawaona wafuasi wa Jiwe mkiwa kazini kutafuta legacy ya kulazimisha ya mwendazake
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,205 Reaction score 33,287 Jun 21, 2021 #22 Kstiba mpya imebakiza stage moja tu,kupigiwa kura na wananchi,,msifikiri ilitupwa jalalani katiba ya chenge,,mchakata wa katiba mpya ukianza,tunaanzia tulipoishia na sio kwamba mchakato utaanza upya kabisa,,hili mlitie akilini...
Kstiba mpya imebakiza stage moja tu,kupigiwa kura na wananchi,,msifikiri ilitupwa jalalani katiba ya chenge,,mchakata wa katiba mpya ukianza,tunaanzia tulipoishia na sio kwamba mchakato utaanza upya kabisa,,hili mlitie akilini...
P Phillipo Bukililo JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 18,487 Reaction score 13,611 Jun 21, 2021 #23 Mmawia said: Nawaona wafuasi wa Jiwe mkiwa kazini kutafuta legacy ya kulazimisha ya mwendazake Click to expand... JPM wanamjua huko mikoani humu jukwaani washua wengi hawamkubali kivile.
Mmawia said: Nawaona wafuasi wa Jiwe mkiwa kazini kutafuta legacy ya kulazimisha ya mwendazake Click to expand... JPM wanamjua huko mikoani humu jukwaani washua wengi hawamkubali kivile.
Joseph lebai JF-Expert Member Joined Jul 19, 2017 Posts 8,452 Reaction score 8,670 Jul 17, 2021 #24 Uwe makini na" UKWELI' kumbuka nabii Issa alikuwa mkweli.