Serikali ya mapinduzi Zanzibar ina dini?

Serikali ya mapinduzi Zanzibar ina dini?

Inavyoone wengi humu wanajibu tu na wengine wanafanya mzaha mleta uzi kauliza swali zuri sana mimi inanibidi nichimbe zaidi.
 
Salaam,Shalom.

Nadhani swali linajieleza,

Kwamba Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar Ina dini?

Ikiwa Ina dini, dini Gani?

Na issue ya mtu KUFUNGA ni Tendo la Siri au la hadhara?

Karibuni[emoji120]
Wewe inaonyesha ni kijana wa juzi hizo sheria zipo znz tokea Rais wa mwanzo karume mkubwa
 
Salaam,Shalom.

Nadhani swali linajieleza,

Kwamba Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar Ina dini?

Ikiwa Ina dini, dini Gani?

Na issue ya mtu KUFUNGA ni Tendo la Siri au la hadhara?

Karibuni[emoji120]
Kwani Serikali ya Muungani ina dini? Tunaona sikukuu zote za kikristo na kiislamu ni siku ambazo ni mapumziko. Hii imekaaje? Si tungekuwa tunaenda kazini tu
 
Zanzibar ni nchi ya Kiislam Kitambo sana 🐼

Swali lingine?
Thibitisha kisheria na kikatiba..

Ni wapi ndani ya katiba ya Zanzibar ya 1984 inasema Zanzibar ni dola ya Kiislamu.?

Au unafikiri na kudhani tu kwa kufuata matukio na watu wasemavyo kwenye viringe vya Kahawa?
 
Salaam,Shalom.

Nadhani swali linajieleza,

Kwamba Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar Ina dini?

Ikiwa Ina dini, dini Gani?

Na issue ya mtu KUFUNGA ni Tendo la Siri au la hadhara?

Karibuni🙏
Hawa jamaa wajinga sana na huo mdini wao wa ajabu.
Wewe ni mweusi tii, unaanza je kukomalia mila za wenye ngozi ya kitimoto?
 
Hawa jamaa wajinga sana na huo mdini wao wa ajabu.
Wewe ni mweusi tii, unaanza je kukomalia mila za wenye ngozi ya kitimoto?
Imani Yao waachie,

Lakini Katiba na Sheria zifuatwe.

Haipo SHERIA yoyote ndani ya Katiba inayozuia watu wasio dini hiyo kula hadharani.
 
Ni ushamba tu. Wanashindwa vumilia dini nyingine.

Koti la muungano limebana sana. Wajitenge wawe na dola la kiislam hawa wabaguzi
 
Kwani Serikali ya Muungani ina dini? Tunaona sikukuu zote za kikristo na kiislamu ni siku ambazo ni mapumziko. Hii imekaaje? Si tungekuwa tunaenda kazini tu
Mapumziko yapo kisheria za kimataifa kabisa,

May mosi Kwa Mfano, ni worldwide. Na sikukuu zote kubwa za wakristo na waislamu zipo kisheria zinatambulika.

Lakini haipo SHERIA katika Katiba ya 1984 ya Zanzibar inayozuia watu wasio waislamu kula hadharani.
 
Ni ushamba tu. Wanashindwa vumilia dini nyingine.

Koti la muungano limebana sana. Wajitenge wawe na dola la kiislam hawa wabaguzi
Hilo hatutaruhusu,

Kuruhusu iwe Dola ya kiislamu, hapatakalika, wao Kwa wao watamalizana,

Kuna wale wa suruali fupi watainuka na kusumbua wenye msimamo wa kati,

Ugaidi utakuwa puani mwetu,na kuhatarisha USALAMA wetu.

Haikubaliki hiyo.
 
Huo ni ujinga uliopitiliza kila mtu aheahimu Imani ya mwenzake kama Dini yako inakukataza kula yangu inaniruhusu kunywa mda wowote.
 
Back
Top Bottom