Serikali ya Marekani izuie mara moja uzinduzi wa Kipindi cha ROYAL TOUR cha Rais Samia nchini humo kushinikiza Utawala Bora nchini

Tena waambiwe wasitishe na uletaji wa chanjo ya j&j nchini 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
 
Jaji Mutungi yule Msajili ametangaza mazungumzo kutafuta muafaka lakini! Hope mambo yatakaa sawa tu.
Kwani hii nchi ipo vitani mpaka tuanze mazungumzo ya kutafuta muafaka?

Hicho kikao cha Jaji Mutungi ni feki na hakina uhalali wowote.

Tunachosubiri ni mkutano alioahidi Rais wa vyama vyote vya siasa.

Msajili wa vyama vya siasa na Polisi siyo waratibu wa vyama vya upinzani, bali ni walinzi na wasimamizi wa vyama vyote na wananchi wote kwa kufuata katiba.

Kama katiba haitaheshimiwa na wachache, walio wengi nao wataipuuza, nchi itazama kuzimu.
 
Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu. Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Ni hoja nzuri yenye mashiko.
Ila ufikiwaji na kutimizwa matakwa haya ndiyo changamoto zaidi, kikubwa angalia wajibu wako mwingine
 
Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu. Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Wewe ungana na akina polepole,silaa na kakobe.Huna aibu wewe.ukome kumsema Rais Mama Samia.
 
Hawa washenzi wasiruhusiwe kupeleka unajisi huko kwenye demokrasia. Wakazindue North Korea huko kwenye washenzi wenzao.
 
Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu. Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Serikali ya Marekani haiingilii matangazo ya biashara kwenye vyombo binafsi vya habari. Siyo mara ya kwanza serikali ya Tanzania kutangaza utalii marekani; angalia hii. Halafu kuna video nyingi za namna hiyo.

Gharama za kurecord hiyo filamu zimetajwa kuwa ni kiasi gani kwanza?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Americans are the world "champion" of democracy ----- in this case we expect them not to be mum, Atleast they have to take their influential opportunity while she is in there to tell her the truth obout deteriorating democracy in Tz by her Government.
expect them? somebody is still depending on white man to solve his own issues. lazima tujifunze ku solve issue zetu wenyewe badala ya kumuita au kumlaumu mtu mweupe
 
Bado mna siasa za kitoto sana aisee...

Kuna mtu ukimsoma hapo juu anaelezea ya Taleban na USA...Kama hamjui hizi siasa za kihuni za USA nendeni mkasome hiyo story ya Taleban na kupewa nchi ya Afghanistan na USA..

MBS na serikali yake ya Saudia wamemchomoa Kashogi pale uturuki na ushahidi wa wazi kabisa,USA kafanya nini...

Interest za USA Tanzania hazina shida yeyote na kwasasa Taifa linaagiza chanjo ya JJ unafikiri USA atawasikiliza.? Pambaneni kivyenu acheni kuwahusisha wazungu kwenye hizi siasa za kuitafuta Ikulu...
 
Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu. Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Sawa tundu, tumekusoma.
 
Sidhani kama atakubali kuhojiwa na hivi vyombo vya habari na akikubali basi itakuwa ni AIBU kubwa kwa nchi.
Atahojiwa na atajibu,Mkapa watu waliuwawa zanzibar na alijibu sembuse yeye kwa wahuni kuwepo sehemu salama!
 
Ndio mwisho wa siku akapata tuzo
Kwani lengo la Jamhuri ya twita lilikua Mondi aondolewe kwenye shindano au asipate tuzo?

Kwahiyo wewe una amini kua Mondi hakupata tuzo coz ya watu wa jamhuri ya twita?
 
wapinzani Tanzania tafuteni namna sahihi ya kupambana na CCM, hizi siasa za kuwategemea wazungu ndio CCM itoke hazina faida....hao the so called wapo kwa maslahi yao na hata siku ukiona wanausaidia upinzani kuitoa CCM ujue kuna maslahi yao huko..

Watanzania wako tayari kwa mabadiriko miaka mingi sana tatizo ni aina ya wanasiasa na vyama vinavyojinasibu kushika dola na kuitoa CCM..
 
Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu. Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Yaani watz wengi kila kitu bora jana, yaani utawala wa mama leo ni eti uvunjifu wa demokrasia umefikia hatua mbaya zaidi?? Kwa hiyo kwa jpm mlikua mnazingua
 
Kujibu uongo kama wa BBC kwamba kesi ya Mbowe tayari kuna waliohukumiwa na Mbowe alitoroka nchini. Unatorokaje nchini kwa kupita mipaka halali ambayo wahusika wanakuruhusu uende uendako? 😳😳😳

Back
Top Bottom