Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Ni zaidi ya mpumbavu, ni nyauMtu mpumbavu kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni zaidi ya mpumbavu, ni nyauMtu mpumbavu kabisa
Kwani hii nchi ipo vitani mpaka tuanze mazungumzo ya kutafuta muafaka?Jaji Mutungi yule Msajili ametangaza mazungumzo kutafuta muafaka lakini! Hope mambo yatakaa sawa tu.
Samia azuiwe kuingia kwa mabeberu🤣🤣
Twangeni maji kwenye KINU....
Ni hoja nzuri yenye mashiko.Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu. Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Wewe ungana na akina polepole,silaa na kakobe.Huna aibu wewe.ukome kumsema Rais Mama Samia.Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu. Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Hawa washenzi wasiruhusiwe kupeleka unajisi huko kwenye demokrasia. Wakazindue North Korea huko kwenye washenzi wenzao.Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu. Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Serikali ya Marekani haiingilii matangazo ya biashara kwenye vyombo binafsi vya habari. Siyo mara ya kwanza serikali ya Tanzania kutangaza utalii marekani; angalia hii. Halafu kuna video nyingi za namna hiyo.Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu. Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
expect them? somebody is still depending on white man to solve his own issues. lazima tujifunze ku solve issue zetu wenyewe badala ya kumuita au kumlaumu mtu mweupeAmericans are the world "champion" of democracy ----- in this case we expect them not to be mum, Atleast they have to take their influential opportunity while she is in there to tell her the truth obout deteriorating democracy in Tz by her Government.
you will be dissapointed with so called diasporaWito wa watanzania wote waliopo USA kumpokea mama Samia kwa mabango na maandamano ya kupinga siasa zake chafu hapa Tz.
#NoRoyalTour
#FreeTz
Sawa tundu, tumekusoma.Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu. Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Atahojiwa na atajibu,Mkapa watu waliuwawa zanzibar na alijibu sembuse yeye kwa wahuni kuwepo sehemu salama!Sidhani kama atakubali kuhojiwa na hivi vyombo vya habari na akikubali basi itakuwa ni AIBU kubwa kwa nchi.
Kwani lengo la Jamhuri ya twita lilikua Mondi aondolewe kwenye shindano au asipate tuzo?Ndio mwisho wa siku akapata tuzo
hiko kitu hakuna. wenye kujua ni hao wageni wenyeweGharama za kurecord hiyo filamu zimetajwa kuwa ni kiasi gani kwanza?
Yaani watz wengi kila kitu bora jana, yaani utawala wa mama leo ni eti uvunjifu wa demokrasia umefikia hatua mbaya zaidi?? Kwa hiyo kwa jpm mlikua mnazinguaNipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu. Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Atahojiwa na atajibu,Mkapa watu waliuwawa zanzibar na alijibu sembuse yeye kwa wahuni kuwepo sehemu salama!