FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Na kweli haswa tukiongozwa na sie tulioshindwa tu kuitoa ccm kwa miaka zaidi ya 50Marekani Ni Taifa la Kibepari huwa halina kawaida ya kujaza vilaza Na wanajua Maziwa Makuu ndio kuna vilaza wa kumwaga
Na hasa Tanzania CCM inatumia mtaji wa uvilaza na umbumbumbu wa Wananchi kuendelea kutawala na kufanya ufisadiMarekani Ni Taifa la Kibepari huwa halina kawaida ya kujaza vilaza Na wanajua Maziwa Makuu ndio kuna vilaza wa kumwaga
na Chadema inatumia mtaji wa wavutaji bange kuendelea kuwa maarufuNa hasa Tanzania CCM inatumia mtaji wa uvilaza na umbumbumbu wa Wananchi kuendelea kutawala na kufanya ufisadi
Sent using Jamii Forums mobile app
west africa asiye na elimu ana dimploma hivo ni rahisi wao kupata kwasababu wengi wana professionMh.makamu balozi Inmi Petterson ukweli ni kwamba East Africa INA watu wanaokizi vigezo vya kushinda kuwa wakazi wa Marekani ila ni kama mnapendelea hivi watu was kanda nyingine kama Kusini na Magharibi ya Afrika
Marekani ni taifa kubwa ulimwenguni kiuchumi na kijeshi,tungependa program hii ya permanent residency in USA ifanyike kwa haki
Kwani kwenye majanga tunaomboleza wote iweje kwenye raha mtukwepe?na nyie ndio baba wa usawa duniani
Hivi huwa mnatuchukuliaje?
Instagram:kaukwaju
Mtoa mada hujafanya utafiti wa kutosha kuhusu ulichokiandika.Mh.makamu balozi Inmi Petterson ukweli ni kwamba East Africa INA watu wanaokizi vigezo vya kushinda kuwa wakazi wa Marekani ila ni kama mnapendelea hivi watu was kanda nyingine kama Kusini na Magharibi ya Afrika
Marekani ni taifa kubwa ulimwenguni kiuchumi na kijeshi,tungependa program hii ya permanent residency in USA ifanyike kwa haki
Kwani kwenye majanga tunaomboleza wote iweje kwenye raha mtukwepe?na nyie ndio baba wa usawa duniani
Hivi huwa mnatuchukuliaje?
Instagram:kaukwaju
"Hivi umerudia kusoma ulichokiandika"? πππwest africa asiye na elimu ana dimploma hivo ni rahisi wao kupata kwasababu wengi wana profession
VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA!Mh.makamu balozi Inmi Petterson ukweli ni kwamba East Africa INA watu wanaokizi vigezo vya kushinda kuwa wakazi wa Marekani ila ni kama mnapendelea hivi watu was kanda nyingine kama Kusini na Magharibi ya Afrika
Marekani ni taifa kubwa ulimwenguni kiuchumi na kijeshi,tungependa program hii ya permanent residency in USA ifanyike kwa haki
Kwani kwenye majanga tunaomboleza wote iweje kwenye raha mtukwepe?na nyie ndio baba wa usawa duniani
Hivi huwa mnatuchukuliaje?
Instagram:kaukwaju
Ccm ndio imezalisha vilaza huko maziwa makuuMarekani Ni Taifa la Kibepari huwa halina kawaida ya kujaza vilaza Na wanajua Maziwa Makuu ndio kuna vilaza wa kumwaga
Chadema ndio inaongoza nchi we pumbaf!na Chadema inatumia mtaji wa wavutaji bange kuendelea kuwa maarufu