FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Mh.makamu balozi Inmi Petterson ukweli ni kwamba East Africa INA watu wanaokizi vigezo vya kushinda kuwa wakazi wa Marekani ila ni kama mnapendelea hivi watu was kanda nyingine kama Kusini na Magharibi ya Afrika
Marekani ni taifa kubwa ulimwenguni kiuchumi na kijeshi,tungependa program hii ya permanent residency in USA ifanyike kwa haki
Kwani kwenye majanga tunaomboleza wote iweje kwenye raha mtukwepe?na nyie ndio baba wa usawa duniani
Hivi huwa mnatuchukuliaje?
Instagram:kaukwaju