Serikali ya Marekani kwanini hatushindi USA Green Card kwa East Africa ukilinganisha na sehemu zingine za West and South Africa?

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Mh.makamu balozi Inmi Petterson ukweli ni kwamba East Africa INA watu wanaokizi vigezo vya kushinda kuwa wakazi wa Marekani ila ni kama mnapendelea hivi watu was kanda nyingine kama Kusini na Magharibi ya Afrika

Marekani ni taifa kubwa ulimwenguni kiuchumi na kijeshi,tungependa program hii ya permanent residency in USA ifanyike kwa haki

Kwani kwenye majanga tunaomboleza wote iweje kwenye raha mtukwepe?na nyie ndio baba wa usawa duniani

Hivi huwa mnatuchukuliaje?

Instagram:kaukwaju
 
west africa asiye na elimu ana dimploma hivo ni rahisi wao kupata kwasababu wengi wana profession
 
Mh.makamu balozi Inmi Petterson ukweli ni kwamba East Africa INA watu wanaokizi vigezo vya kushinda kuwa wakazi wa Marekani ila ni kama mnapendelea hivi watu was kanda nyingine kama Kusini na Magharibi ya Afrika

Marekani ni taifa kubwa ulimwenguni kiuchumi na kijeshi,tungependa program hii ya permanent residency in USA ifanyike kwa haki

Kwani kwenye majanga tunaomboleza wote iweje kwenye raha mtukwepe?na nyie ndio baba wa usawa duniani

Hivi huwa mnatuchukuliaje?

Instagram:kaukwaju
Mtoa mada hujafanya utafiti wa kutosha kuhusu ulichokiandika.
si kweli kuwa wanapendelea bali sisi hatushiriki kwa wingi kama ilivyo west africa na hivyo kupelekea ratio ya ushindi kuwa ndogo na mpaka sasa nchi ya Nigeria na Egypt zimefungiwa kushiriki kutokana na USA kuwa na idadi kubwa ya wahamiaji kutoka izo nchi ,naomba ugoogle kwa kingereza utapata majibu ya maswali yako yote
 
Mh.makamu balozi Inmi Petterson ukweli ni kwamba East Africa INA watu wanaokizi vigezo vya kushinda kuwa wakazi wa Marekani ila ni kama mnapendelea hivi watu was kanda nyingine kama Kusini na Magharibi ya Afrika

Marekani ni taifa kubwa ulimwenguni kiuchumi na kijeshi,tungependa program hii ya permanent residency in USA ifanyike kwa haki

Kwani kwenye majanga tunaomboleza wote iweje kwenye raha mtukwepe?na nyie ndio baba wa usawa duniani

Hivi huwa mnatuchukuliaje?

Instagram:kaukwaju
VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom