Extra focus
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 662
- 1,297
Wanajamvi poleni na hongereni kwa majukumu.
Niende moja kwa moja kwenye mada;
Mikoa ya pembezoni mwa nchi kama Kigoma na Katavi ina raslimali za kutosha kama madini, mbuga za wanyama, bandari, ikulu ndogo nk lakini kiwango cha umaskini ni kikubwa sana katika mikoa hiyo.
Katiba pendekezwa ya Warioba ilipendekeza mgawanyo wa nchi katika kurahisisha utendaji kazi na kuchochea maendeleo huku ikiondoa utitiri wa vyeo vya kisiasa visivyo na mantiki kama DC, RAS, RC nk.
Je kwa ulimwengu wa sasa uelekeo huo unaweza kuondoa umaskini katika mikoa ya pembezoni ama ni nini kifanyike ili kujinusuru na umaskini uliokithiri?