umaskini tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Red black

    JamiiForums Tanzania Watanzania bado wanaishi kwenye umasikini wa kutisha

    Just imagine century hii bado watu wanavuta maji kwenye visima kwa kutumia kamba na ndoo. Baadhi ya vijiji havina huduma muhimu kama umeme, barabara, hospital, maji, shule.nk Watu wanatumia baiskeli kama usafiri tegemezi, yaani mmama anafanya Kazi ya kubeba raia kwa kutumia. Dah tz inatisha sana.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Serikali ya mfumo wa majimbo ndiyo mwarobaini wa umaskini Tanzania?

    Wanajamvi poleni na hongereni kwa majukumu. Niende moja kwa moja kwenye mada; Mikoa ya pembezoni mwa nchi kama Kigoma na Katavi ina raslimali za kutosha kama madini, mbuga za wanyama, bandari, ikulu ndogo nk lakini kiwango cha umaskini ni kikubwa sana katika mikoa hiyo. Katiba pendekezwa ya...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene amjibu Mbowe kuhusu kauli yake ya TASAF na umaskini nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene amemshukia aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Freeman Mbowe kuhusiana na hoja yake aliyoitoa ya kubeza juhudi ya Serikali ya kutaka kuondoa umaskini wa...
Back
Top Bottom