Watanzania bado wanaishi kwenye umasikini wa kutisha

Watanzania bado wanaishi kwenye umasikini wa kutisha

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
18,719
Reaction score
60,636
Just imagine century hii bado watu wanavuta maji kwenye visima kwa kutumia kamba na ndoo.

Baadhi ya vijiji havina huduma muhimu kama umeme, barabara, hospital, maji, shule.nk

Watu wanatumia baiskeli kama usafiri tegemezi, yaani mmama anafanya Kazi ya kubeba raia kwa kutumia.

Dah tz inatisha sana.
 
Kwa sehemu kubwa ccm wameturudisha nyuma sana.

Ukizunguka kidogo huko pembezoni vijijini hali ya umasikini ni kubwa.

Bahati mbaya uongozi huu ndio tumerudi enzi za miaka ya 80 huko wananchi wanajisumbukia wenyewe kwa miundombinu. Yote imeishia kipindi cha Magu. Hivi sasa hakuna kinachoendelea. Hata barabara zilizokuwa zimeanza kutengenezwa zimefukuliwa tu halafu zimeachwa vumbi kubwa. Mfano barabara ya Mbeya ambayo ni ya SADEC. Hii barabara imeshika sehemu ya uchumi wa nchi ,lakini imefukuliwa halafu imetekekezwa na mkandarasi. Imeacha usumbufu wa foleni za ajabu ktk huu mji. Hakuna anaelisumbukia hilo
 
Watu wanatumia baiskeli kama usafiri tegemezi, yaani mmama anafanya Kazi ya kubeba raia kwa kutumia.
Hili la baiskeli ni dunia nzima zinatumika tena bongo afadhali siku hizi wanatumia tu wakurya kuna Mkurya mmoja humu alileta story ya manzi wa kichaga alisema wakurya Malaya -wale wanaouza matrei ya mayai kwenye maduka na mabanda ya chipsi ndio wanazitumia kwa sana ila wa kawaida ni bodaboda mpaka kuna kijiji nilikuta yaan mpaka wanawake wanaendesha bodaboda na huko inaonekana sio ajabu ni kawaida kabisa ila huku town daah wanawake labda wapo kwenye kukusanya nauli sijaona anaeendesha bodaboda
 
Tatizo la masokwe yaliyochangamka ya kiafrika, yanahusudu sana wanachofanya masokwe yalichongamka meupe (wazungu) ndomana hadi yalivyoanza kuchezea vinyesi wanaiga na kuona ni akili.

Mpaka wazoee kuona wazungu wanaendesha baiskeli kwenda kazini ndo waje waanzishe thread za kuendesha baiskeli ni kawaida sio umaskini. Kwamba ni afya, unaepuka foleni na kubanana kwenye mabasi etc. 🗑🗑


AI Translation:

Ni nchi gani inayotumia baiskeli zaidi?

Uholanzi
ndiyo inaongoza. Hakuna mshindani wa karibu.

Kuna baiskeli milioni 23 kwa watu milioni 17. Hiyo ni sawa na baiskeli 1.3 kwa kila mtu — yaani kuna baiskeli nyingi zaidi kuliko watu.

Huko Amsterdam, utaona bibi na mababu wakipanda baiskeli kwenda sokoni, wazazi wakiwasafirisha watoto shule, na watu wa biashara waliovaa suti wakikanyaga baiskeli kwenda kwenye mikutano. Wote wakitumia njia zilezile za baiskeli.

Denmark inafuata kwa karibu. Huko Copenhagen, karibu nusu ya safari za kila siku za kwenda na kurudi kazini au shughuli nyingine hufanyika kwa kutumia baiskeli. Mvua iwe inanyesha au jua liwake, Wadeni huendelea kukanyaga baiskeli.

Mataifa mengine yanayoongoza kwa matumizi ya baiskeli ni pamoja na Ujerumani, Uswidi, Ufini, Ubelgiji, China na Japani. Lakini hakuna anayefanya hivyo kama Waholanzi.

Uholanzi: Asilimia 36 ya safari zote hufanyika kwa kutumia baiskeli.

Denmark: Asilimia 23 ya safari zote nchini hufanywa kwa baiskeli.

Ujerumani: Asilimia 10 ya safari hufanywa kwa baiskeli — na kiwango hicho kinaendelea kuongezeka kwa kasi.

Uswidi: Asilimia 12 ya wakazi hupanda baiskeli kila siku.
 
Kwa sehemu kubwa ccm wameturudisha nyuma sana.

Ukizunguka kidogo huko pembezoni vijijini hali ya umasikini ni kubwa.

Bahati mbaya uongozi huu ndio tumerudi enzi za miaka ya 80 huko wananchi wanajisumbukia wenyewe kwa miundombinu. Yote imeishia kipindi cha Magu. Hivi sasa hakuna kinachoendelea. Hata barabara zilizokuwa zimeanza kutengenezwa zimefukuliwa tu halafu zimeachwa vumbi kubwa. Mfano barabara ya Mbeya ambayo ni ya SADEC. Hii barabara imeshika sehemu ya uchumi wa nchi ,lakini imefukuliwa halafu imetekekezwa na mkandarasi. Imeacha usumbufu wa foleni za ajabu ktk huu mji. Hakuna anaelisumbukia hilo
Ase
 
Tatizo ni SISIEMU ,wenzetu USA walishatoka huko kwenye umeme ,maji ,barabara ,huduma za afya ,hospital ,shule etc wao viongozi wakitaka madaraka wanakuja na sera mpya na si hayo ya kuwaletea maji,umeme na bla bla.
Ujinga sana
 
Just imagine century hii bado watu wanavuta maji kwenye visima kwa kutumia kamba na ndoo.

Baadhi ya vijiji havina huduma muhimu kama umeme, barabara, hospital, maji, shule.nk

Watu wanatumia baiskeli kama usafiri tegemezi, yaani mmama anafanya Kazi ya kubeba raia kwa kutumia.

Dah tz inatisha sana.
SASA FIKIRIA TANZANIA IPO KATI YA NCHI ZENYE HALI NZURI KIUCHUMI BARANI AFRIKA.

IMAGINE NCHI NYINGINE ZINAZOZIDIWA NA TZ ZITAKUWA KWENYE HALI GANI ?
 
SASA FIKIRIA TANZANIA IPO KATI YA NCHI ZENYE HALI NZURI KIUCHUMI BARANI AFRIKA.

IMAGINE NCHI NYINGINE ZINAZOZIDIWA NA TZ ZITAKUWA KWENYE HALI GANI ?
Ah tz raia wanateseka sana
 
Back
Top Bottom