HIYO JAMII YA WAFUGAJI HAIKUPASA KUWA NA NJAANenda kondoa huko umaskini unaushika kwa mkono kabisa
HIYO JAMII YA WAFUGAJI HAIKUPASA KUWA NA NJAANenda kondoa huko umaskini unaushika kwa mkono kabisa
Mkuu sio Tanzania pekee, sehemu nyingi tu hapa Africa nilizofanikiwa kufika bado maisha hayo yapoJust imagine century hii bado watu wanavuta maji kwenye visima kwa kutumia kamba na ndoo.
Baadhi ya vijiji havina huduma muhimu kama umeme, barabara, hospital, maji, shule.nk
Watu wanatumia baiskeli kama usafiri tegemezi, yaani mmama anafanya Kazi ya kubeba raia kwa kutumia.
Dah tz inatisha sana.
Unaweza hata kuu-HugNenda kondoa huko umaskini unaushika kwa mkono kabisa
Noma sana mkuuMkuu sio Tanzania pekee, sehemu nyingi tu hapa Africa nilizofanikiwa kufika bado maisha hayo yapo
Baada ya kupata nafasi kufika baadhi ya nchi developed duniani, aisee nilitamani kulia. Mlipa kodi anathaminiwa sana. Imagine mtu aliyepo maeneo ya vijiji still ana access na huduma karibuni zote ambazo mjini wanazipata. Yaani ukifika Ulaya ndio unaamini sisi waadrika ni Mavampaya
UKIFIKA MAREKANI KIDOGO INAWEZA KUBADILISHA MTAZAMO WAKO.Mkuu sio Tanzania pekee, sehemu nyingi tu hapa Africa nilizofanikiwa kufika bado maisha hayo yapo
Baada ya kupata nafasi kufika baadhi ya nchi developed duniani, aisee nilitamani kulia. Mlipa kodi anathaminiwa sana. Imagine mtu aliyepo maeneo ya vijiji still ana access na huduma karibuni zote ambazo mjini wanazipata. Yaani ukifika Ulaya ndio unaamini sisi waadrika ni Mavampaya
MIMI NILIFUNDISHWA KUFANYA KAZI NA KUUPA MWILI POLE.Kufanya kazi ni lazima
Rais wa Singapore tu lazima atakuwa anashangaa 😄Tatizo ni SISIEMU ,wenzetu USA walishatoka huko kwenye umeme ,maji ,barabara ,huduma za afya ,hospital ,shule etc wao viongozi wakitaka madaraka wanakuja na sera mpya na si hayo ya kuwaletea maji,umeme na bla bla.