Extra focus
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 662
- 1,297
ingekua hivyo,Wanajamvi poleni na hongereni kwa majukumu.
Niende moja kwa moja kwenye mada;
Mikoa ya pembezoni mwa nchi kama Kigoma na Katavi ina raslimali za kutosha kama madini, mbuga za wanyama, bandari, ikulu ndogo nk lakini kiwango cha umaskini ni kikubwa sana katika mikoa hiyo.
Katiba pendekezwa ya Warioba ilipendekeza mgawanyo wa nchi katika kurahisisha utendaji kazi na kuchochea maendeleo huku ikiondoa utitiri wa vyeo vya kisiasa visivyo na mantiki kama DC, RAS, RC nk.
Je kwa ulimwengu wa sasa uelekeo huo unaweza kuondoa umaskini katika mikoa ya pembezoni ama ni nini kifanyike ili kujinusuru na umaskini uliokithiri?
Tunaongelea kurahisisha utawala katika eneo husika na majimbo kujisismamia katika maendeleo mkuuingekua hivyo,
walau ukabila ungetokomea Kenya, lakini badala yake umeshamiri zaidi katika aina hiyo ya serikali, sembuse umaskini gentleman?🐒
Mkuu huoni kama tukiwa na majimbo hili litasimamiwa kwa weledi zaidi?Umaskini utaondolewa kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja, kufanya kazi kwa bidii, kila mtu kuondoa utegemezi, kuacha kuzaa hovyo, utawala bora n.k
Mgawanyo wa sehemu za kiutawala mkuu, ambao una mamlaka zaidi kuliko mikoaMajimbo ndiyo nini?
Acheni kupotosha
Hebu tuambie Kenya imesaidia vipi?Wanajamvi poleni na hongereni kwa majukumu.
Niende moja kwa moja kwenye mada;
Mikoa ya pembezoni mwa nchi kama Kigoma na Katavi ina raslimali za kutosha kama madini, mbuga za wanyama, bandari, ikulu ndogo nk lakini kiwango cha umaskini ni kikubwa sana katika mikoa hiyo.
Katiba pendekezwa ya Warioba ilipendekeza mgawanyo wa nchi katika kurahisisha utendaji kazi na kuchochea maendeleo huku ikiondoa utitiri wa vyeo vya kisiasa visivyo na mantiki kama DC, RAS, RC nk.
Je kwa ulimwengu wa sasa uelekeo huo unaweza kuondoa umaskini katika mikoa ya pembezoni ama ni nini kifanyike ili kujinusuru na umaskini uliokithiri?
Serikali ya majimbo Kenya imesaidia upatikanaji wa maji kwa urahisi ndani ya nchi yao kwani kila Country ina mamlaka ya kuingia mikataba ya kuboresha huduma na sekta binafsi tofauti na Tanzania ambapo mikoa haina hiyo mamlaka. Hii imesababisha kila kitu kielekezwe serikali kuuHebu tuambie Kenya imesaidia vipi?
Gentleman,Tunaongelea kurahisisha utawala katika eneo husika na majimbo kujisismamia katika maendeleo mkuu
Asante sana mkuuHata mie nasapoti nazan serikali ya Majimbo ndio mwarobain ulibaki,
Ila serikali ya Majimbo bila kuwa na katiba Madhubutu .. ni kupoteza Mda
Wanachi majimbon wanapaswa kuwa na nguvu kwenye katiba,ikiwemo uwezo wa kuwa wajibisha viongoz wao wa majimbo
Mfumo wa sasa unamapungufu mengi mno.. kama ,(I)maendeleo kuachiwa serikali kuu. (II)Uwajibishwaji wa viongoz wabovu mikoan kuachiwa serikali kuu