Tunaomba wahusika wa mtaa lilipo Daraja La kijazi( Ubungo Mataa) Mtupie jicho kundi kubwa la watoto waliofanya makazi yao eneo la Daraja. Ni Muda sasa watoto hawa wanalala maeneo ya Daraja na wanafanya shuhuli nyingi ikiwemo kupika. Kwa wale wanaoenda Makazini asubuhi nadhani mnajionea watoto hawa wakiwa wamelala maeneo haya. Ni kundi la zaidi ya watoto 20.
Ni Muhimu kuondoa kundi hili Mapema kuepuka changamoto za kiusalama zinazoweza kujitokeza siku za usoni
Wahusika fuatilieni watoto hawa ikiwezekana wapelekwe sehemu maalumu za kulelea watoto
Nawasilisha