Tunaomba wahusika wa mtaa lilipo Daraja La kijazi( Ubungo Mataa) Mtupie jicho kundi kubwa la watoto waliofanya makazi yao eneo la Daraja. Ni Muda sasa watoto hawa wanalala maeneo ya Daraja na wanafanya shuhuli nyingi ikiwemo kupika. Kwa wale wanaoenda Makazini asubuhi nadhani mnajionea watoto hawa wakiwa wamelala maeneo haya. Ni kundi la zaidi ya watoto 20.
Ni Muhimu kuondoa kundi hili Mapema kuepuka changamoto za kiusalama zinazoweza kujitokeza siku za usoni
Wahusika fuatilieni watoto hawa ikiwezekana wapelekwe sehemu maalumu za kulelea watoto
Nawasilisha
AiseeNinapita hapo mara kwa mara katika shughuli zangu.
Hawa watoto wamejiingiza kwenye kuvuta petroli na gundi za viatu ili kupata kilevi. Utaona wengi wao wamevaa mashati au masweta ya mikono mirefu na kuna kama chupa hivi kaifunga mkononi ndani ya hilo sweta na mara kwa mara ana nyanyua mkono kupeleka puani ili kuifikia hiyo chupa na kuvuta.
Hili ni janga.
Wahusika chukueni hatua....
Tunaomba wahusika wa mtaa lilipo Daraja La kijazi( Ubungo Mataa) Mtupie jicho kundi kubwa la watoto waliofanya makazi yao eneo la Daraja. Ni Muda sasa watoto hawa wanalala maeneo ya Daraja na wanafanya shuhuli nyingi ikiwemo kupika. Kwa wale wanaoenda Makazini asubuhi nadhani mnajionea watoto hawa wakiwa wamelala maeneo haya. Ni kundi la zaidi ya watoto 20.
Ni Muhimu kuondoa kundi hili Mapema kuepuka changamoto za kiusalama zinazoweza kujitokeza siku za usoni
Wahusika fuatilieni watoto hawa ikiwezekana wapelekwe sehemu maalumu za kulelea watoto
Nawasilisha
Umesoma Paragraph ya mwisho kweli?🤔Umeweka ubinafsi, kwa hiyo watolewe kwa ajili ya Usalama, na sio kwa ajili ya a ustawi wao? Bora wakae tu then.
Anzisha uzi wako kisha andika Jina unalotakaInaitwa Ubungo Fly over sio huo upumbavu wa Jiwe