Serikali ya Qatar yaiagiza kikundi cha kigaidi cha Hamas kufunga ofisi zake zilizoko Doha na kuondoka mara moja

Wameshindwa ila bado wanapigana sasa kama israhell imeishinda hamas si waikalie Ghaza wanangojea nini nawe mchambuzi dah
 
Hamas ni chama cha siasa chenye makazi yake Gaza kikiwa na lengo la kiokomboa Palestina dhidi Mkoloni Israel.

Hamas haina tofauti na Tanu, ANC, Frelimo na vyama vingine vya ukombozi ambavyo vilipugania Uhuru katika mataifa yao.
Acha upuuzi! Usifananishe wapigania Uhuru wazalendo akina Mandela na makundi ya magaidi ya kidini.
 
Hamas ni chama cha siasa chenye makazi yake Gaza kikiwa na lengo la kiokomboa Palestina dhidi Mkoloni Israel.

Hamas haina tofauti na Tanu, ANC, Frelimo na vyama vingine vya ukombozi ambavyo vilipugania Uhuru katika mataifa yao.

Kafiri atabaki kafiri tu
Mtumwa anaona akitukana kwa kiarabu basi anapata thawabu!
 
Je Israel imekubali masharti ya Hamas ya kuachia wafungwa watoto wa Kipalestina magerezani!??
Kwani Hao unaowaita "wafungwa Watoto wa Kipalestina" walifungwa i.e. wapo magerezani kwa kutekwa au kulikuwa na makosa ya kisheria na mchakato mahakamani ukawapata kuwa na hatia na wakahukumiwa adhabu ya kifungo Magerezani? Kwa mantiki hiyo hao mateka wanaoshikiliwa na HAMAS wana Hatia au makosa gani? Mbona ni kama HAMAS inataka kufanya Biashara na hao mateka? "Rob Peter to pay Paul"???
 
Wakaishi Gaza mbna wanahangaika Sana au kwa sababu wanajua hapo gaza sio kwao mda wowte wanaondoka ndo maana hawataki kuweka ofisi za kudumu!!
Nyumba za wenzenu zina bima , usihis kila sehemu wanaish huku mabonde kuinama kwa mama Abdul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…