Hii Habari imenishtua, ila si kama ulivoindika.
Qatar wamesema hawatakuwa msuluhishi kama pande zote za mgogoro hazitaki kukubaliana kwa uaminifu, ndio ikaenda mbali na kusema haioni maana ya uwepo wa ofisi ya masuala ya Kisiasa ya Hamas nchini humo, hili neno la pili ndio limetafsiriwa hivyo.
Qatar imeenda mbali na kuona inakuwa blackmailed kwa sababu tu imejitolea kuwasuluhisha Israel na Hamas.
Hamas wanatakiwa wakubali jambo moja wameshindwa vita na hawana uongozi, wanachofanya Hamas Gaza ni sawa na Ujambazi tu, sio tena mapigano ya ukombozi, Qatar wameshatishiwa Kushambuliwa na Houthi, Iran na vikundi vya Kishia kisa tu wanaongea vyema na Israel.
Watu waelewe kuwa si lazima kuisaidia Palestina